Jamani kwema humu ndani?
Leo nimeona niliongelee Bunge letu pamoja na madudu yake.
Yaani Bunge la kipindi hiki ni bunge la ajabu kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu.
Wabunge badala ya kuongelea mambo ya msingi kwa ajili ya usitawi wa Taifa letu, wengi wao wamekuwa wakijikita kwa mambo ya hovyo yasiyo na kichwa wala miguu.
Huenda hali hii imechagizwa na wengi wao kuwa na elimu za kuunga unga na wengine kujipachika vi-PhD vya kununua, lakini Kichwani hamna kitu!
Nachelea kusema zaidi ya 50% ya wabunge wote wa bunge hili, hawatarudi bunge lijalo. Maana sisi wananchi tupo macho kuwaangalia tena kwa umakini sana na michango yenu ambayo mingi haiko kwa maslahi ya Taifa.
Eti, baadhi yao nao walikuwa wanashangaa lile roboti Eunice kwamba ni la kiwango duni ilhali wengi wao hawana tofauti na hilo dude!
Jiandaeni kisaikolojia, pepeto linakuja 2025.