TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,743
Hao nao wana kanuni zao zinazowadhibiti, ndiyo maana huwa tunasikia mbunge fulani kuamriwa kufuta kauli/maneno yake wakati akichangia hoja.Nguvu na mamlaka ya Summons.
Haya bwana ngoja tusikie.
Hizi kanuni zielekezwe na kwa wale wanaotoa lugha za matusi bungeni.
NASISITIZA KUWA NI ULIMBUKENI KUMKAMATA MTU KWA HOJA YA KUMFIKISHA KWENYE KAMATI YA MBDILI. SUALA LA MAADILI NI SUALA LA MADAI. USHAURI NI ULEULE: JOB NDUGAI KUNYWA JUICEYA LIMAO ULEVI NA ULIMBUKENI WA MADARAKA UISHE.Ni kutokana na vurugu zilizofanyika Bungeni wakati wa vikao.
View attachment 329827 View attachment 329828
Hakupata misukosuko kwa ajili ya hilo lifimbo ha ha ha haMaadili mbona boss wao alikosa Maadili akamtwanga mgombea mwenzake na lifimbo la kinaijeria
la kichawi ajapewa misukosuko kama hiyo? Itafika siku tutachoka muraa.
kiongoz gani hana nidhamu.......viongoz wajuu wa awamu hii wengi hawana nidhamuSpika ndie yule alimpiga mshindani wake fimbo hadi kupoteza fahamu,hivi ile Kesi iliishiaga wapi?
sasa kupewa lifti ya ndege Mwanza hadi Dar ndiyo kutiwa adabu?Hizi sheria zitumike vizuri kuwatia adabu wabunge wajinga kama hawa akina bulaya ili heshima ya bunge irejee.