mbwiganyuki
Senior Member
- Nov 3, 2012
- 156
- 103
Mwambie kwa mwanahabari makini, kupotea kwa simu bungeni kwa mazingira tata, hiyo ni habari?
Kwa nini alitangaza?
Kitengo cha ulinzi na usalama cha Bunge kimetoa taarifa ya kukanusha, tuhuma zilizosambazwa katika mitandao ya kijamii zikimhusisha Mbunge wa Bunge maalumu la Katiba ndugu Paul Makonda kuhusika na wizi wa simu ya Mjumbe wa Bunge la Katiba. Akitoa taarifa hiyo mbele ya Bunge maalumu la katiba, Mwenyekiti wa muda wa Bunge maalumu, Mh. Pandu Amiri Kificho alisema;
Mimi sio Makonda. Ila
vijana wa bavicha punguzeni umbea. Tumieni akili kidogo tu walau kwa
siku moja.
acheni chuki za kise****, slaa alirudisha mke wa mtu?
Lisemwalo lipo na kama halipo linakuja. Kwanini asingiziwe yeye wakati wajumbe wapo wengi?
Kibaka akiiba simu kariakoo, ni habari! Ila mbunge akiiba simu bungeni, ni habari ya kusisimua!
Hebu soma taarifa vizuri wewe, acha kukurupuka na kupayuka hovyo.