Bunge la vijana la Afrika Mashariki lapata Spika mpya kutoka Tanzania

smarte_r

JF-Expert Member
Nov 8, 2013
4,538
11,870
Vijana wenzangu wa Afrika Mashariki, najua mnajua ila sio mbaya kuwashirikisha zaidi.

Hivi karibuni kijana mwenzetu paul siniga almaarufu "Rio Paul", amechaguliwa kuwa msemaji rasmi wa Bunge la Vijana la Afrika Mashariki(East African Youth Parliament).

Pongezi kwake ila naomba kufahamu wasifu zaidi wa huyu jamaa. wazee wa kufukunyua ma-file nawategenea katika hili.

IMG_20211115_194221.jpg
 
Njaa zitawau vijana..hapo mfukoni yupo na kadi ya chama cha kijani..huyo sio msemaji wa vijana ni spika ya chama..siku sio nyingi utasikia anaitisha kongamano ya kumsifu mama...poor afrikan youth.

#MaendeleoHayanaChama
 
Astaghafirllah

Ukoloni ukoloni ukoloni, mwanaume kavaa wigi ili awe Kama loya wa kizungu?!
 
Back
Top Bottom