BUNGE LA UK Vs TANZANIA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BUNGE LA UK Vs TANZANIA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtazamaji, Apr 12, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  UK Parliament

  NB
  Cha jabu Mimi mtanzania lakini habari za bunge la UK ziko accessible na nazipata bila vikwazo kulikoo habari za bunge langu la tanzania. Why? Je majibu ya maswali kama haya tutayapata wapi?kwa nini yanakuwa maswali magumu kama hesabu za calculus
  Sasa mtanzania anayetembela tovuti ya bunge la Tanzania anapata taarifa gani Parliament of Tanzania

  Tanzania Parliament

  So nini Tofauti ya Bunge au Mbunge wa Tanzania na bunge na Mbunge wa UK.?
  Kwa haraka haraka tunaweza kusema mbunge wa Tanzania anapata kiwango kidogo lakini ukiangalia kwa upana Mbunge wa UK hayuko katika hingest paid ppl katika jimbo lake. Kwa Tanzania nadhani Wabunge ni among best paid katika majimbo. So Politics ni highest paying job in Tanzania. If we don’t stop This tutaelekea pabaya. Wabunge waache kasumba ya kulinganisha mishaahara yao na mabunge ya Commona welath wabunge walinganishe mapatao yao na GDP na nchi. Wabunge na bunge wawe wazwazi kuonyesha serikali mfano.  Wito
  I
  Huu ni uwazi unatakiwa kwa bunge letu. Bunge letu wakati wauongozi wa Six lilianza kuonyesha dalili nzuri lakini tatizo lilionyesha makucha yake wa serikali tu. Wananchi tunapenda bunge nalo liwe wazi na utendaji w ake wa kazi na mambo ya mapato yao na matumzi yawe wazi.
  Ni mchezo wa kuigiza bunge kukema serikali wakati lenyewe halionyeshi mfano.

  II

  Wataalmu wa ICT wa bunge waweke kipengele cha FAQ kwenye tovuti ya bunge. Na publishers waweke hizo taarifa kama ilivyo kwenye tovuti ya bunge la UK. Hizi FAQ ni maswali wapiga kura wengi wanajiuliza. Hiyo ndiyo mifano ya Kuiga

  III
  Watanzania wengi matumaini yetu yako kwa wabunge wa upinzani. Tunaomba wawe wajasiri na kuhoji mambo ya bunge hata kama kipande cha mkate wao kitamegwa. Tunataka tuskie wabunge hawa wanawasilisha hoja mfano ya wao kulipa kodi tuone hao wa CCM kama watakataa.  NB
  Leo nimejisijikia kuandika hadithi kwenye siasa.


  Nawasilisha.
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  we mtazamaji unahoji siri za serikali....?
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hizi siri inabidi tuzijue na tuwakumbushe hata kama watakereka.

  • Kwa nini politics iwe ni best paying career tanzania and africa?
  • Kwa nini mbunge azidi mapato afisa elimu, madini, kilimo, mhandisi, RPC wa mkoa.
  Je hao tunawaiga kama UK. mbunge wa jimbo ana rank nafasi ya ngapi katika malipo jimboni mwake?. Hawa wabunge wanatakiwa kuwa wawazi. Au wahakikishe watu wa kuleta maendelo ya nchi hii nao wanapata vinono kama wao.. Mbunge gani kawai kusema maafisa kilimo wa wilaya au mikoa wapewe mishahara kama ya wabunge au japo mikopo ya magari.??????

  Maendeleo ya nchi hayaletwi na mbunge bali ni .Afisa kilimo, madini mifugo, afya elimu.
   
Loading...