kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,156
- 11,608
Teh teh teh.Haya endelea kufuta ushamba kwenye hayo maajabu ya lagoon.
Ukija bongo uje kuwaadithia matineja wenzio...
Wish you were here kuffar.

Teh teh teh.Haya endelea kufuta ushamba kwenye hayo maajabu ya lagoon.
Ukija bongo uje kuwaadithia matineja wenzio...

Teh teh teh.kahtaan
We unaenda kama ndama, kushangaa mapori na majani ughaibuni ambayo ni man made lakini hao watasha wanakuja huku Kilimanjaro na Arusha kucheki waterfalls, kupanda milima na kuangalia mandhari nzuri ya uchaggani Ambayo ni natural.
Wazungu wamekuzidi uelewa bado...
Muungwana ni vitendo..
By ze way...Sijawahi kusikia wageni wakienda kule kwenu.... Ha ha..
MMhhh,,!Leo Jumatatu bunge la Uingereza litakuwa na mjadala wa kihistoria katika siasa za nchi hiyo.Mjadala utakuwa ni kuhusu uwezekapo wa kumzuia mgombea kiti cha urais kwa chama cha Republican Donald Trump kuingia nchini humo kutokana na kauli zake za kibanguzi dhidi ya waislamu.Ikumbukwe kuwa kwenye moja ya mikutano yake ya kampeni alisema kuwa anakusudia kuwazuia waislamu kuingia nchini humo iwapo atachaguliwa kuwa raised was nchi hiyo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi novemba mwaka huu
Hao mabibi wako paranoid kupita maelezo.
Kumbuka hili jukwaa la international jaribu kuongea kama mtu uliye elimika kidogo .Teh teh teh.
Its bed time now Meku.
We kanywe uharo wacha mimi niwatumikishe wagalatia hapa.
Dinner is served.
All seafood.
Adios dumas.
Inta nini?Kumbuka hili jukwaa la intanational jaribu kuongea kama mtu uliye elimika kidogo .
Inamaana wewe hauna point yoyote ya kuongea watu wakakuelewa unaongea nini zaidi ya matusi au haya ndio uliyo kuwa unajifunza madrasa.
Yote sawa na kukosea ni kawaida hizo ni lugha za watu lakini jaribu kubadika vile unavyo fikiri .Inta nini?
Hii umejifunza kanisani?
Teh teh teh.Waislamu ni mashetani kama khatan huyu ndiyo ibilisi kabixa
Kubadika ndio kufanyaje?Yote sawa na kukosea ni kawaida hizo ni lugha za watu lakini jaribu kubadika vile unavyo fikiri .
Hiyo ndio heshima uliyo fundishwa na dini yako kumuona mtu yoyote ambaye sio muislam ni mwanamke. Hongera sana na ndio maana kila siku mnawaza kutulipua na mabomu.Kubadika ndio kufanyaje?
We mtoto wa kike umelishwa nini leo?
Kigugumizi ka unataka kufumaniwa?
Dah...