Ngaramtoni
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 431
- 61
You must have been sick..if you are supporting Mr. TrumpLeo hii hilo swala aliloongea trump. Anaonekana ni mbaya siku akichaguliwa kuwa rais wa marekani itaoneka wamarekani ndio wamesema kwa kupitia sanduku la kula na ninamshukuru trump kwa kuto kuwa mnafiki. Na hao waingereza waache waendelee kupoteza muda wakati trump ndio anazidi kuchanja mbuga kuingia ikulu ya marekani na waislam watakiona cha mtema kuni.
We akili kuambiwa Trump anasema "watu weusi ni Nyani" na Mexican ni wasambaza Maradhi na African American ni Km dogs!Leo hii hilo swala aliloongea trump. Anaonekana ni mbaya siku akichaguliwa kuwa rais wa marekani itaoneka wamarekani ndio wamesema kwa kupitia sanduku la kula na ninamshukuru trump kwa kuto kuwa mnafiki. Na hao waingereza waache waendelee kupoteza muda wakati trump ndio anazidi kuchanja mbuga kuingia ikulu ya marekani na waislam watakiona cha mtema kuni.
Kwa mwislam ambae haujawahi kupanda ndege wala kuota kila siku unanimg'ininia kwenyeWe akili kuambiwa Trump anasema "watu weusi ni Nyani" na Mexican ni wasambaza Maradhi na African American ni Km dogs!
Basi akili yako ilivyo mbovu unadhani kawatukana waislamu tu.
Miafrika mingine ni mizigo tu.
Kuning'imninia ndio kufanyaje tena?Kwa mwislam ambae haujawahi kupanda ndege wala kuota kila siku unanimg'ininia kwenye
Daladala wakikwambia usiende marekani utaathilika na nini?
Na trump alichosema atawaludisha wageni wote
Ambao waliingia marekani bila vibari yupo sahihi kama alivyo fanya makufuri
Na tena akasema hataki waislam waiimgie marekani waliopo hao hao wanatosha na watakuwa chini ya uangalizi maalumu
Wewe muislam ambae unaishi gongo la mboto huwezi kuwapangia wamarekani kwenye nchi yao.
Na wakati wewe hauna hata uhakika wa kula kama unaelewa mdogo huwezi kumuelewa trump anamanisha nini? Kwenye nchi yake.
Wewe endelea kuleta uswahili kwenye nchi za watu.Kuning'imninia ndio kufanyaje tena?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Na hicho "KIBARI" ni kitu gani!
Mbona nyie wahehe mnatuchafulia lugha namna hii?
Kambaffff.
Halafu ktk kitu cha maana umeona ni kupanda ndege.
[emoji23] [emoji23] .
Kaaz kweli kweli.
Cc faby
Kwa mujibu wa Takwimu kutoka Foreign affairs kuna Wamarekani zaidi ya 90,000 wametapakaa ktk nchi za Kiarabu wanafanya kazi.Naona dalili za wamarekani kulalamika wananyanyaswa huko Asia hususan Arabs hivi Asia hakuna wamarekani wanaoishi huko hii sera itakuwa chungu Zaidi kwa wamarekani subiri tuone
Kwani waarabu hawajarundikana Marekani?Kwa mujibu wa Takwimu kutoka Foreign affairs kuna Wamarekani zaidi ya 90,000 wametapakaa ktk nchi za Kiarabu wanafanya kazi.
Hawa ni Professionals tupu ambao wamejisajili ktk Balozi zao huko uarabun.
Bado wale wafanya kazi zisizo rasmi.
Hawa hawakulikani Idadi yao.
Trumph anatafuta Kura tu. Hawezi kufanya upumbavu huo kwa vitendo.
Kwani hajui balaa itakayo mtokea?
Waarabu wana shida ya Kwenda USA?
Zile kampuni za Kimarekani zilizoko huko Arabuni zikipigwa teke hasara atapata nani?
Mchina na Russia wanasubiri tu kisanuke wachukue tenda huko Gulf.
Teh teh teh.Kwani waarabu hawajarundikana Marekani?
Trump ndiye rais ajaye wa Marekani, ni afadhali ujifunze sasa kumuelewa kwa akili yako badala ya kusubiri wengine wakusimulie walivyomuelewa, halafu wewe nunenfe hisia/ msimamo kwa kupitia uelewa wa wengine.We akili kuambiwa Trump anasema "watu weusi ni Nyani" na Mexican ni wasambaza Maradhi na African American ni Km dogs!
Basi akili yako ilivyo mbovu unadhani kawatukana waislamu tu.
Miafrika mingine ni mizigo tu.
Wanaompinga Trump ni Magaidi.Siungi kauli moja ya kuwa mbaguzi wa Waislam na hilo chama itamuweka sawa ila kupambana na Magaida nampa zote na namuona yeye ndiye mwenye mwelekeo kuliko CruzFikra zako zinaonekana kwenye Avatar yako.
Mwafrika unathamini Member of KKK?
Utumwa wa akili ni mbaya kuliko wa mwili.
Achaguliwe Trumph au Trumpet nothing will change.
Same all same all.
Obama alikuja na speed mara mia ya huyu KKK hakuna la maana kafanya itakuwa huyu muuza masufuria.?