Bunge la Uganda Looh

Bunge la Uganda Looh

Uzuri wa bunge sio jengo la bunge bali kuwa na wabunge wenye kuwasimamia wananchi pamoja na nchi yao. Unaweza kuwa na mke mzuri lakini hajui kupika wala kugegedana sasa uzuri wake wa nini?


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Uzuri wa bunge sio jengo la bunge bali kuwa na wabunge wenye kuwasimamia wananchi pamoja na nchi yao. Unaweza kuwa na mke mzuri lakini hajui kupika wala kugegedana sasa uzuri wake wa nini?


Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Aaah yaan bora asijue kupika lakini awe mtamuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
waganda hata kambi zao za jeshi ni vichekesho halafu eti kule lugha yao kuu ni kiingereza na kiganda la ili uwe mjeda lazima ujue kiswahili cha kuzugia.

Kama ni mtanzania na unaishi kwenye vijiji vyao majeda watakuwa wanakukamata Mara kwa Mara wanakuhoji hili kusikia kiswahili chako yani mpaka wanakera
 
Back
Top Bottom