Anayeumwa hatakiwi kuwa na digrii ila daktari anayetibu lazima awe na digrii.Huyo asiyesoma aweza sema hovyo mwandishi kama mtaalamu mwenye digrii ndiye atakiwa ayaweke sawa hayo yaliyotamkwa na asiyesoma.Kama mwanahabari anahitajika awe na shahada ya kwanza ili aripoti, wabunge wanatakiwa kuwa na shahada ya kwanza pia kuripotiwa.
Mkuu naona umemsahau Deo sanga (Jah people)Kwani kuna tatizo gani??Mbina waliopo bungeni wengine hawana degree na hawazuiliwi kuchangia miswaada na kupitisha sheria zinazotumika kuongoza nchi?
Au una maana ukiwa Darasa la Saba D kama Prof wa Korogwe ile kuingia tu bungeni unakuwa na degree??
Mkitaka hivyo,basi muhakikishe na wale wanaoongea bungeni ili waandishi wapate cha kuandika na wao walazimishwe kuwa na degree
Haiwezekani Mwanahabari mwenye degree kuandika mawazo ya Mbunge wa Darasa la saba, kama ambavyo hamtaki Mwanahabari asiye na degree kuandika habari za bunge,basi na wabunge wasio na degree nao habari zao zisiandikwe.
Naona mkuu una utani na Kibajaji(Lusinde) ,Msukuma wa Geita na Prof Majimarefu
Anayeumwa hatakiwi kuwa na digrii ila daktari anayetibu lazima awe na digrii.Huyo asiyesoma aweza sema hovyo mwandishi kama mtaalamu mwenye digrii ndiye atakiwa ayaweke sawa hayo yaliyotamkwa na asiyesoma.
Mfano mzuri bungeni wabunge wakitukanana matusi ya nguoni na kikao kikavunjika spika akakiahirisha mwandishi ambaye digriii hana kesho yake ataandika gazetini kuwa wabunge walitukana matusi ya nguoni nA ATAYATAJA na yajkasababisha hadi kikao kikavunjika wakati mwenye digrii ataandika kuwa kikao kilikuwa na mjadala wa wazi ambapo spika aliupa kila upande nafasi ya kuongea kwa uwazi kwa kadri ullivyojisikia na baadaye mheshimiwa spika kwa mamlaka ya kiti aliyopewa alikiahirisha hicho kikao hadi wakati mwingine.Hiyo ndio tofauti kubwa ya mwandishi aliyesoma na asiyesoma.Yale matusi kwa asiyesomea ni matusi tu kama ya mtaani kwa aliyesoma ni mjadala wa wazi ambapo mtu anaongea kwa uhuru atakacho.
Ukienda kiuhalisia Sheria huwa haitungwi na bunge hutungwa na wanasheria waliobobea na kupelekwa bungeni kujadiliwa na kupigiwa kura wakipendekeza kwa raisi aisaini iwe sheria/Lakini sheria yenyewe chimbuko ni kwa wataalamu waliobobea hivyo mijadala hiyo yataka mwandishi aliyebobea na mwenye digrii kuelewa kilichomo hata kama wabunge hawakielewi akienda kuripoti aripoti kwa upeo mkubwa unaozidi hata wabunge ikibidi.Unavuta Bangi,anayetunga sheria awe darasa la saba ila mwandishi wa hiyo sheria awe na Degree,hakika ndiyo maana akina Nape wameweza kupitisha ile sheria ya kundamiza uhuru wa habari
Nakubaliana na wewe, mwanahabari awe na shahada ya kwanza ili aweze kufanya kazi yake kwa uwanja mpana. Lakini kwa hali ilivyo sasa mbunge naye awe na shahada, nafikiri mada nyingi bungeni zahitaji uwe na shahada na kama si shahada walau si stashada. unapoongeza kiwango cha elimu ya mwanahabari, ina maana unataka kuboresha. Vivyo hivyo mjadili mada anatakiwa pia awe na shahada. Mambo mengi hayaendi bungeni kwa kuwa wabunge wengi elimu yao ni ndogo, pale zinapoletwa mada ambazo ni technical, hawajui nini cha kuchangia wanaanza vijembe. Rejea Rasimu ya tume ya Warioba ilipendekeza ili uweze kugombea nafasi ya ubunge lazima uwe na shahada ya kwanza. WABUNGE WENGI WA BUNGE LILE WALIKATAA KWA KUWA WENGI NI DARASA LA SABA NA KIDATO CHA NNE.Anayeumwa hatakiwi kuwa na digrii ila daktari anayetibu lazima awe na digrii.Huyo asiyesoma aweza sema hovyo mwandishi kama mtaalamu mwenye digrii ndiye atakiwa ayaweke sawa hayo yaliyotamkwa na asiyesoma.
Mfano mzuri bungeni wabunge wakitukanana matusi ya nguoni na kikao kikavunjika spika akakiahirisha mwandishi ambaye digriii hana kesho yake ataandika gazetini kuwa wabunge walitukana matusi ya nguoni nA ATAYATAJA na yajkasababisha hadi kikao kikavunjika wakati mwenye digrii ataandika kuwa kikao kilikuwa na mjadala wa wazi ambapo spika aliupa kila upande nafasi ya kuongea kwa uwazi kwa kadri ullivyojisikia na baadaye mheshimiwa spika kwa mamlaka ya kiti aliyopewa alikiahirisha hicho kikao hadi wakati mwingine.Hiyo ndio tofauti kubwa ya mwandishi aliyesoma na asiyesoma.Yale matusi kwa asiyesomea ni matusi tu kama ya mtaani kwa aliyesoma ni mjadala wa wazi ambapo mtu anaongea kwa uhuru atakacho.
Kuumwa ni dharuraAnayeumwa hatakiwi kuwa na digrii ila daktari anayetibu lazima awe na digrii.Huyo asiyesoma aweza sema hovyo mwandishi kama mtaalamu mwenye digrii ndiye atakiwa ayaweke sawa hayo yaliyotamkwa na asiyesoma.
Mfano mzuri bungeni wabunge wakitukanana matusi ya nguoni na kikao kikavunjika spika akakiahirisha mwandishi ambaye digriii hana kesho yake ataandika gazetini kuwa wabunge walitukana matusi ya nguoni nA ATAYATAJA na yajkasababisha hadi kikao kikavunjika wakati mwenye digrii ataandika kuwa kikao kilikuwa na mjadala wa wazi ambapo spika aliupa kila upande nafasi ya kuongea kwa uwazi kwa kadri ullivyojisikia na baadaye mheshimiwa spika kwa mamlaka ya kiti aliyopewa alikiahirisha hicho kikao hadi wakati mwingine.Hiyo ndio tofauti kubwa ya mwandishi aliyesoma na asiyesoma.Yale matusi kwa asiyesomea ni matusi tu kama ya mtaani kwa aliyesoma ni mjadala wa wazi ambapo mtu anaongea kwa uhuru atakacho.
Unamaanisha wanaCcm wa uganda?huu ndiyo upumbau ambao unawaweka busy wanaCCM wakati uchumi umeanguka, nchi inongozwa kwa imla.
kila kitu kiko shaghalabaghala mtu unawaza upuuzi tu.
aliyeleta mada kushauri tuige maamuzi ya Uganda.Unamaanisha wanaCcm wa uganda?
Kwa hiyo kwako wewe cha muhimu Bungeni ni kile kinachoripotiwa na sio kinachojadiliwa? Kwamba Msukuma na Lusinde uwepo wao hauhitaji elimu lakini anayeripoti kinachojiri Bungeni ndio mwenye umuhimu wa elimu?Anayeumwa hatakiwi kuwa na digrii ila daktari anayetibu lazima awe na digrii.Huyo asiyesoma aweza sema hovyo mwandishi kama mtaalamu mwenye digrii ndiye atakiwa ayaweke sawa hayo yaliyotamkwa na asiyesoma.