Kenya wamejipima wameona ina maslahi kwao wameipitisha.
ngoja wao waendelee, sisi wazee wa kudesa tutadesa huko mbele kama kwao italipa.
Tanzania ijitoe kwenye yale makubaliano ya ushuru wa forodha ya Afrika mashariki tuendelee na mambo yetu.Vitu vikiingia nchini toka Kenya vichajiwe ushuru kama vimetoka ulaya.Sababu kenya yaweza tumika kama uchochoro wa bidhaa za ulaya kupenya nchini kwetu kupitia makubaliano ya ushuru wa forodha vikaingia kuja kuua bidhaa na viwanda vyetu.
Umekaa ukamuwaza bahkresa ....waza taifa tutafaidika nn nahuo mkatabatusign tu make bakhesa atakuwa anauza juisi zake ulaya kiulaini
Kenya wana monopoly kubwa sana ktk soko la maua na tanzanite (zetu)! kwa hiyo kwao EPA ni fursa kubwa sana, sisi hapa hatuna cha kuuza ulaya, tuwaache wajitafutie riziki sisi tupige siasa! Kuwafanya wasubiri mpaka januari, watakuwa time barred, hawawezi kukubali hususani tukizingatia kwamba Rais Uhuru mwenyewe ana interest kubwa sana kwenye soko la mauaKenya wamejipima wameona ina maslahi kwao wameipitisha.
ngoja wao waendelee, sisi wazee wa kudesa tutadesa huko mbele kama kwao italipa.
So the deal is viable for kenya only,This agreement will allow EU ships docking at the port to receive service promoting our ship building industry
Istoshe itapea KQ more revenue
Boost our flower exports
And clothes to the EU
it will reduce costs ya farm equipment and more herbicides and pesticides
Allow EU agents to open shop in kenya for uptake and export of our products and vice versa
Nk...kuna vitu vingi
Fyi kenya is classified as a middle income country the rest of EA ni least developed country so this deal is God sent ......
growing at a avg rate of 7%, you wont stay LCD for ever.... also the other deal which exists is not liberalised as the EPA, they say you can export stuff to them, but in reality, you can never meet their hidden restrictions.... in the EPA, we can export anything we can affored to export and compete with their own products hata kama tutakua na market share ya 0.6% bado tutauza hata vijiti vya kupigia meno ile watu wa mashambani hutumia kama toothbrush (it cleans better than an average brush).....So the deal is viable for kenya only,
What is Tz & ug going to get out of it??
Thats Kenya. How about Tanzania?This agreement will allow EU ships docking at the port to receive service promoting our ship building industry
Istoshe itapea KQ more revenue
Boost our flower exports
And clothes to the EU
it will reduce costs ya farm equipment and more herbicides and pesticides
Allow EU agents to open shop in kenya for uptake and export of our products and vice versa
Nk...kuna vitu vingi
Fyi kenya is classified as a middle income country the rest of EA ni least developed country so this deal is God sent ......
I dunno pull up your socks ....in 2000 ethiopia was doing worse than rwanda its 2016 its GDP is equal to kenya try and keep upThats Kenya. How about Tanzania?
Hizi ni sarakasi za siasa tu, Kenya tayari walikuwa wameshatia saini huo mkataba kwa hiyo kuupeleka bungeni kwa sasa bila ya kupata saini za nchi nyingine za EAC ni kupoteza tu kodi ya wananchi wa Kenya.