Bungeee Bungeee Bungeee, Hawa Non-Pro sijui wanafanya nini humo Bungeni, shughuli yote imeshatekwa na wanasiasa, kinachoendelea ni AIBU kwa nchi hii! Hivi kweli Tanzania hatuna wataaluma wanaoweza kukaa na kufanya kazi kwa ufasaha na bila kuvutia kamba upande kwa faida zao kisiasa?...SHAME.