Bunge la JMT Lina Wachumi wangapi wa level ya degree?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Dunia inakwenda kukutana na mabadiliko makubwa ya Kiuchumi katika siku chache zijazo

Tayari BRICS wamezindua pesa yao katika kukabiliana na mabadiliko hayo

Naomba kujua ndani ya Bunge la JMT ukimuondoa Dr Mwigullu PhD kuna mbunge gani mwingine aliyesomea Uchumi

Baadae Mlale Unono 😀
 
Kwani chama chenu kinahitaji degree kwenye jambo lolote? Wewe ni ccm makapi,uliza wenzio ccm lia lia
 
Dunia inakwenda kukutana na mabadiliko makubwa ya Kiuchumi katika siku chache zijazo

Tayari BRICS wamezindua pesa yao katika kukabiliana na mabadiliko hayo

Naomba kujua ndani ya Bunge la JMT ukimuondoa Dr Mwigullu PhD kuna mbunge gani mwingine aliyesomea Uchumi

Baadae Mlale Unono 😀
Kwa kweli hata lingekuwa nao wengi ungeshangaa maamuzi yao yanazidiwa na ya wafanyabiashara wakinga ambao hawakusoma sana pale kariakoo.
Elimu yetu inakuwa zaidi ya kupata marks, lakini si ya kutatua changamoto. Ukikuta mbongo anamsifia kongozi unaweza kudhani kafanya kitu kuliko hata baba wa taifa la singapore.
 
Watanzania hata waliosoma uchumi lakini elimu zao hazitusaidii kabisa.kila siku Nchi inaporomoka kiuchumi na kuzidiwa na Nchi zote afrika
 
Dunia inakwenda kukutana na mabadiliko makubwa ya Kiuchumi katika siku chache zijazo

Tayari BRICS wamezindua pesa yao katika kukabiliana na mabadiliko hayo

Naomba kujua ndani ya Bunge la JMT ukimuondoa Dr Mwigullu PhD kuna mbunge gani mwingine aliyesomea Uchumi

Baadae Mlale Unono 😀
Kama sifa ya kuingia humo ni kujua kusoma na kuandika,hapa nionacho ni tuu,tuache kutafuta habari za degree ngapi za nini,ila tuu tuulizane ni zipi connection za kufiiikaaamoo.Ama ni fitna gani zita kufikiiishamoo.Basi Ziada kwa sasa ni kupotezeana muda chini ya tume,katiba na mfumo wa sasa uliopo wa mupe muruke,mwenzetu,siii mwenzetu,kong'ota jiwe la uchogoni,teka,funga na madhila yafananayo na hayo.Na yote haya yana tukumbusha kwanini bado tunahitaji kuwa koloni la anayejitambua ili tuache upumbavu.
 
Dunia inakwenda kukutana na mabadiliko makubwa ya Kiuchumi katika siku chache zijazo

Tayari BRICS wamezindua pesa yao katika kukabiliana na mabadiliko hayo

Naomba kujua ndani ya Bunge la JMT ukimuondoa Dr Mwigullu PhD kuna mbunge gani mwingine aliyesomea Uchumi

Baadae Mlale Unono 😀
Huko unaenda mbali sana, nchi za afrika zinaweza kuanguka kiuchumi endapo viongozi wa kitaifa watakuwa wanakutana na viongozi wa nchi zingine kwa masilahi binafsi badala ya mkazo mkubwa wa kuwaondoa wananchi wao kwenye umasikini,

Kwasasa tunatumia bidhaa nyingi sana ambazo hatuzizalishi wenyewe

We consume what we do not produce, Bill Gates and Tony Brayor meet our leaders in secret

Kuleta wawekezaji bila uwiano na wazawa naliona tatizo kubwa huko mbeleni, eti tuna nadi, PPP, private partnership, kwa wageni badala ya wazawa

Having said that, there is a need of prioritizing national development and later global competition
 
Watanzania hata waliosoma uchumi lakini elimu zao hazitusaidii kabisa.kila siku Nchi inaporomoka kiuchumi na kuzidiwa na Nchi zote afrika
Ysani degree 1 kushawaita wachumi ndugu yangu dah tafsr ya usomo kwako kipengele hv ushawaona mins wanavosoma hzo coursework wanavofanyiana hv kushaona research kinachofanywa anaejipendekwza kwa mwalim ndio mpewa marks nyingi finally good GPA leo wajua kuanalyse nchi kiuchumi dah utaona wanavojisomea na vidaftar ya ujàuzito na vipamblets
 
Back
Top Bottom