ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,084
- 84,977
My Take
Maisha bila Chadema yanaendelea na maandalizi ya Uchaguzi yamepamba moto.
Ukisusia wanakula.
==============
Bunge la 12 la Tanzania limevunjwa rasmi leo kufuatia maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoyatoa Juni 27, 2025 wakati akihitimisha shughuli za bunge hilo jijini Dodoma.
Kuvunjwa kwa bunge hilo ni sehemu ya maandalizi ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.