Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
kwa nn usitumie neno kuahirishwa kwa kutotimia akidi ?
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) jana lilivunjika kutokana na kutotimia akidi ya Wajumbe kutoka Rwanda na Burundi. Vikao vya Bunge hilo vinafanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Spika wa Bunge hilo Dr. Margaret Nantongo Zziwa alilivunja Bunge hilo saa sita mchana wa jana kutokana na kukosekana kwa akidi.
Chanzo: Mwananchi uk. 3
Bunge huvunjwa na spika au huairishwa anyway sijui kisheria mwenye mamlaka ya kuvunja bunge la EAC ni nan? But spika hawez vunja bunge huarisha kwan kuvunja n tafsiri nyingine na kuhairisha n tafsiri nyingine hivyo mkuu hapo umechemka au ndo mwendelezo wa propaganda afu mkiambiwa ukweli kwa nia ya kuelimishana mnakuwa wakali....go on limevunjwa
Kuna haja la wamiliki wa jamiiforums kuanzisha jukwaa la watu kujifunza lugha ya kiswahili. Hivi ni kweli kwamba Petro E. mselewa hajui tofauti ya kuahirishwa na kuvunjwa? Hii ni aibu kubwa sanaBunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) jana lilivunjika kutokana na kutotimia akidi ya Wajumbe kutoka Rwanda na Burundi. Vikao vya Bunge hilo vinafanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Spika wa Bunge hilo Dr. Margaret Nantongo Zziwa alilivunja Bunge hilo saa sita mchana wa jana kutokana na kukosekana kwa akidi.
Chanzo: Mwananchi uk. 3
Mkuu baro,ukisoma ukurasa tajwa wa Mwananchi,neno 'lavunjika' limetumika. Nimelileta kama lilivyo
Lizaboni uwe unajitahidi kuelewa. Kichwa cha habari nimekileta kama kilivyo. Ndivyo habari za chanzo maalum zinavyoripotiwa. Ulitaka nibadili maneno?Kuna haja la wamiliki wa jamiiforums kuanzisha jukwaa la watu kujifunza lugha ya kiswahili. Hivi ni kweli kwamba Petro E. mselewa hajui tofauti ya kuahirishwa na kuvunjwa? Hii ni aibu kubwa sana
Miaka yote Arusha ndio makao makuu ya EAC.Kwanini vikao vifanyike Dar? Mji wa Arusha umekuwa kama unatengwa toka wananchi wake wawe na mwamko wa mapinduzi ya kisiasa.Hata matukio ya mabomu kufululiza na kufanya mji kuonekana hauna utulivu inaweza kuwa sehemu ya mkakati.
Haiwezekani kitovu cha utalii Africa badala ya kupatunza na kuweka usalama wa kutosha tunafanya siasa....kwa faida ya nani? Labda tujue Arusha kuna siri gani maana mbona Mbeya,Kawe na Mwanza ambako ni nyeti pia lakini hakuna ujinga wa kiwango hiki?
Ifikie hatua vyombo vyetu vya dola visimamie miongozo yao ya kazi na si maagizo ya wanasiasa yenye mlengo usio na manufaa kwa taifa.:cool2:
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) jana lilivunjika kutokana na kutotimia akidi ya Wajumbe kutoka Rwanda na Burundi. Vikao vya Bunge hilo vinafanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Spika wa Bunge hilo Dr. Margaret Nantongo Zziwa alilivunja Bunge hilo saa sita mchana wa jana kutokana na kukosekana kwa akidi.
Chanzo: Mwananchi uk. 3
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) jana lilivunjika kutokana na kutotimia akidi ya Wajumbe kutoka Rwanda na Burundi. Vikao vya Bunge hilo vinafanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Spika wa Bunge hilo Dr. Margaret Nantongo Zziwa alilivunja Bunge hilo saa sita mchana wa jana kutokana na kukosekana kwa akidi.
Chanzo: Mwananchi uk. 3
Nakumbuka wabunge wa rwanda waliandaa ajenda ya kumuondoa spika,baadae wabunge wa tanzania wakabaini ni mkakati wa kagame wakaamua kuliweka wazi,na kuondoa sahihi zao katika petition, nafikiri sasa rwanda wamekuja na plan b ya kukwamisha jumuia na kumkwamisha spika kwa kuacha kuhudhuria,ushirika wowote na mtusi ni matatatizo JMAll murutongore
Lakini wakae wakijua sisi ndo mabingwa wa siasa za mitaroni na kukamiana soon watapoteana,icheze Tanzania kwenye mambo mengine ila sio siasa na mipango ya kupotezana