Sidhani Kama litakuwepo mwaka huu maana naona mapesa mengi tu tayari yameshapangiwa matumizi kuanzia ujenzi mpaka huduma za jamii Kama afya na elimu huku wakulima wakihimizwa kuuza bei wanayotaka
Hata mim sioni umuhimu wa bunge kama walipitisha bajeti ya mishahara kwa watumishi wa umma na mpka leo hakuna kilichoongezeka kuna haja gani ya kukaa bunge la bajeti.