soma historia ya ushoga na angalia itikadi za kila chama ujue. c.c.m wasingewaacha chadema kama wangekuwa mashoga na wanajua kabisa kwamba itikadi yao ni safi ya mlengo wa kati. lete itikadi za kila chama hapa tuchambue kama hujakimbia hapa. au unataka tuweke. c.c.m inajibainisha kwamba haiwatetei wananchi. ndio maana ili taka kufuta matangazo ya bunge ili udhaifu wao usionekane wakati wananchi walitaka waone live ili wachuje pumba na ngano. wabunge wote wa c.c.m ni mawaziri. wao huwajibia mawaziri hoja za wapinzani(sio cuf) . pia napenda kuwapongeza NCCR-MAGEUZI wamejibainisha kwamba nao ni wapinzani. kafulila, mkosamali ni wapinzani wa kweli. (mbatia upinzani wake si uamini sana kwani anayumbishwa na upep. cuf jibainisheni ili na ninyi muungwe mkono
CDM iwaeleze wananchi juu ya hujuma hii dhidi yao. Haiwezekani Tv inayoendeshwa kwa kodi za wananchi itumike kwa faida ya mafisadi. Tunataka tbc iuishwe na coverage ieneer nchi nzima na matangazo ya bunge yaruhwe live. tv byingine ziruhusiwe kurusha live matangazo ya bunge
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.