Bunge la bajeti 2011/2012 na yatokanayo

Serikali ilisamehe kodi kwny mashine za kilimo, unafuu wa kod ktk mabanda ya hifadh ya maua,
 
Ahsante Mustafa, babu kubwaaaa, umenikooosha mpaka ndani ya roho.

Hata budget still on the table, ww umekoshwa..!!?? U r a really foxyyyyy from brain, between ur two legs with two foxyy holes, to ur third hole mouth, ur foxxxyyy all over damn, foxxxxyyy wa ambience
 
Kwenye kuöndoa kodi za mafuta tumepigwa kalenda hadi tar:22 atakapowasilisha muswada wa fedha sa sijui ameshindwa nini kutuambia bayana coz mafuta ndo kila kitu Watu tulikuwa tunasubiria ni vipi watatuondolea kodi za mafuta na mafuta bei ikishuka automaticaly bidhaa muhimu kwa watu wa kawaida zinashuka bei.Kwakushindwa tu kubainisha hili hamu yakusiliza Budget imeisha na naamini wengi tutakuwa dissapointed ingawa sikutegemea mapya sana.
 
Serikali imependekeza kupanua magereza na kununua mabomu ya machozi zaidi
 
Mheshiwa spika kaandikiwa ki memo"mhe. Una kengeza hutuoni" anasema ye anaona vizur ila waombaj wengi. Anataja wageni, mi sionagi umuhimu wa hawa wagen kula muda wa bunge.

Unajuaje pengine hao wageni ndiyo wafadhili wa lunch, si unajua mgeni njoo mwenyeji apone!
 
Tril.1 mirad ya maendeleo, vitambulisho vya taifa bil 355, wameshapata mdhabuni
 
vipi kuhusu mafuta,je tunaendelea kuumia au wamepunguza kodi?mafuta ya magari

Aiseh we Acha tu!!Tumetajiwa Mlolongo wa kodi zinazotozwa kwenye mafuta kisha tukaambiwa kuna malengo yakupunguza nakuondoa kabisa baadhi ya kodi hizo kwahiyo tusubirie tar:22 ndo tutaambiwa...!Mie inanishangaza sana afu vitu vinasomwa theoretically in a ver complicated manner Mtu wa Ngw'angashimba kule aambulii kitu.
 
WANANCHI WATAKA MAISHAMAZURI KAMA MUNAYO ISHI NYINYI VIONGOZI NA WAKE ZENU NA WATOTO WENU
Waandishi Wetu, Dar na Dodoma MACHO na masikio ya mamilioni ya tanganyika na zanzibar na wadau wa nje, jana yanaelekezwa Dodoma ambako Bajeti ya Serikali. kwa mwaka wa fedha 2011/12 itasomwa. Wananchi wengi wamekuwa na shauku ya kujua mwelekeo wa bajeti hiyo hasa katika kipindi hiki ambacho wanakabiliwa na hali ngumu ya maisha iliyotokana na kupanda kwa bei vyakula na bidhaa za mafuta.

Bongo+Dar+es+Salaam

Kwa takriban wiki nzima iliyopita, baadhi ya wananchi wamekuwa wakituma ujumbe mfupi wa maandishi kwa simu katika vyombo vya habari wakiisihi serikali kuhakikisha kuwa bajeti ya mwaka huu inawaondoa katika hali ngumu ya maisha.
DaresSalaamMaji.jpg

Bajeti hiyo itakayosomwa bungeni na Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo itatangazwa kwa wakati mmoja na bajeti za serikali za nchi zote za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC),katika mtazamo wa kuimarishamshimakano na umoja wa nchi hizo.

Kwa kawaida na mazoea ya muda mrefu,bajeti ya serikali imekuwa ikisomwa siku za Alhamisi ya wiki ya kwanza ya Juni, lakini mwaka huu imebadilika ikielezwa kwamba hiyo ni kutokana na siku hiyo kuangukia siku ya Uhuru wa Uganda.

Akizungumza bungeni jana asubuhi,Spika wa Bunge,Anne Makinda alisema bajeti hiyo itatanguliwa na hotuba ya hali ya uchumi itakayosomwa pia na Waziri Mkulo.Alisema hotuba hiyo itasomwa asubuhi,wakati ile ya bajeti itasomwa jioni.​
ane%20makinda%283%29.jpg

huyu ndiye anne makinda​
spika.jpg

JUMBA LA MAJINAMIZI YASIYO SHIMBA WALA KUWA NA HURUMA NA WANANCHI WAO NI WAO TU NA FAMILIYA ZAO KUJIRUNDIKIA MALI

Baadhi ya mawaziri akiwamo Mkulo wameifagilia bajeti hiyo huku Shirikisho la Wenye Viwanda Tanzania (CTI) likitoa mapendekezo na matumaini yake.

CTI: Tunataka bajeti ya uchumi wa viwanda Shirikisho hilo limesema kuwa linaisubiri kwa hamu bajeti hiyo.likitaka iwe ya kukuza uchumi na kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji.Kauli ya CTI huku likilalamikia kupanda Kwa gharama za uzalishaji. zilizotokana na mgawo wa umeme wa Tanesco.

Mkurugenzi Mtendaji wa CTI, Christine Kilindu alisema jana kwamba serikali inapaswa kutoa bajeti ambayo pia itaondoa kodi zinazoumiza uzalishaji mkubwa .Alisema kodi kubwa zisizo za msingi zinachangia kupanda kwa gharama za uzalishaji ambao mwishowe husababisha kupanda kwa gharama za maisha kwa mwananchi wa kawaida.
europetrain.jpg

bajeti jengeni kama hizi wananchi wasisumbuke.
europeTrain.jpg

IMG_5459.jpg

Europe-31.jpg

wacha kuwasubuwa serekali yako inapanga bajeti ya kukuongezeya wewe mshahara na posho badala ya kujenga kama hizi wananchi wakawa na usalama na uhakika wa usafiri wa waachiye waendele na safari yao wacha kuwaghasi.
1.JPG


"Tunataka bajeti ambayo itaondoa kodi zinazokwamisha uzalishaji mkubwa na ukuaji uchumi, tunataka bajeti itakayopunguza makali ya maisha kwa mwananchi kwa kumwezesha kupata bidhaa kwa urahisi," alisema Kilindu.

WAMBIYE WENZAKO KILINDU KUWA WANANCHI WANATAKA NCHI YAO IWE NA SUPER MARKET KAMA HIZI NA BEI RAHISI ILI KILA MWANANCHI AWEZE KUNUNUWA NA KULA VIZURI KAMA MUNAVYO KULA NYINYI NA WAKE ZENU NA WATOTO WENU KWENYE MAJUMBA MULIYOJENGA KWA KODI ZA JASHO LA WANANCHI SASA WANANCHI PIA WANATAKA KULA NA KULALA PAZURI AU NA NYINYI MUTAKUWA KAMA MUBAROUK,BEN ALI,SALEH,GADDAFI KARIBU KABISA MAANA TUSHACHOKA KUMIZWA NA MAISHA NA NYINYI MUNAVIMBA TU KAMA MAKOBE AU VYURA WENYE MIMBA YA MIEZI TISA.​
supermarket.jpg

grocery-store-1.jpg

Apples_supermarket.jpg
supercentre_supermarket1.jpg

Alisema bajeti hiyo inapaswa pia kuweka mazingira mazuri na yanavyovutia kibiashara ili kuifanya Tanzania kuwa kituo muhimu cha uwekezaji.Alisema kwamba anategemea kuona umeme ukiwekewa mazingira ya kukuza uchumi na uwekezaji nchini,akisema bila kufanya hivyo hakuna kitu kitakachofanyika.
2270755_orig.jpg

6507052_orig.jpg



"Bila umeme hakuna kitu chochote, serikali inapaswa kuongeza nguvu na msukumo kuona umeme siyo tu unamulika maisha ya watu kwa kutoa mwanga, bali iwe ni nguvu ya kusukuma ukuaji wa uchumi wa nchi."

Mawaziri wapigia debe bajeti Katika kujiwekea mazingira mazuri na kuzuia kubanwa na wabunge, baadhi ya mawaziri wamepigia debe bajeti za wizara zao huku Mkulo,akiahidi kuwa malimbikizo ya vyombo vya usalama yatalipwa mwezi huu.

Mara kwa mara baadhi ya wabunge wamekuwa wakitishia kukwamisha baadhi ya bajeti za wizara, kutokana na kukosa majibu ya msingi kwa mambo mbalimbali ya msingi.Jana asubuhi baadhi ya mawaziri walipokuwa wakijibu maswali bungeni walisisitiza kuwa mambo mengi waliyokuwa wakiulizwa yamezingatiwa katika bajeti.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani,Balozi Hamis Kagasheki, akijibu swali kuhusu malipo ya malimbikizo ya posho za polisi ikiwamo za wakati wa uhamisho, alisema wizara yake imeandaa mwongozo wa kisera wa namna ya kulipatia ufumbuzi tatizo hilo.Alisema katika mwongozo huo ambao tayari ulikubaliwa na Wizara ya Fedha na Uchumi,wizara yake imejipangia utaratibu wa kutatua kero hiyo kuanzia kwenye bajeti ya mwaka huu.

Balozi Kagasheki alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Mji Mkongwe (CUF),Mohammed Sanya,ambaye alitaka kujua mkakati huo ukoje kutokana na tatizo hilo kuwa ni la muda mrefu.Baada ya majibu hayo, Waziri Mkulo alisimama na kukuongezakuwa siyo malimbikizo ya polisi pekee, bali ya vyombo vyote vya usalama na kwamba serikali imejipanga kuhakikisha yanalipwa kabla ya mwezi huu kumalizika.​
Traditional%252520African%252520Houses.jpg

maisha.jpg

poverty2.jpg

Watoto+Nne-1A.gif

Posho za polisi kwa nini wasijengewe nyumba watu kama hawa..?
Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk Harrison Mwakyembe naye alipigia debe bajeti ya wizara yake ambayo tayari ilisifiwa na Kamati ya Bunge ya Miundombinu, kutokana na kugusa kila eneo huku ikitajwa kuandaliwa kwa weledi wa hali ya juu.

Akijibu maswali likiwamo lililohusu ujenzi wa Barabara ya Babati, Dareda hadi Minjingu na kuhusu kero za barabara katika Jimbo la Ludewa linaloongozwa na Profesa Raphael Mwalyosi,Naibu Waziri huyo alisisitiza kuwa wizara yake ni sikivu na mambo mengi yatazingatiwa ndani ya bajeti.​
090826132010_naira.jpg

full.jpg

SHULE.jpg

tanz+village+to+dar.jpg

nyumba.JPG

Mtihani.JPG
fadhili%20048_thumb%5B1%5D.jpg

bajeti upelekwe sehemu kama hizi wacheni wizi wenu bungeni Alisema wizara iko makini na Bajeti ya Ujenzi imezingatia mambo mengi ya msingi huku akitupa kete ya kuomba uungwaji mkono kwa wabunge ili waipitishe.​
d.JPG

HPIM0968.jpg

kikwete+na+pipi.JPG
huyu ndiye raisi ona anawapa piremende waoze meno badala ya kuichukuwa hiyo bajeti na kuwajengeya nyumba za kuishi na maji umeme na chaku elimu hospitali nakathalika yeye gari kubwa na peremende.​
09_09_1vgz1q.jpg

maji.jpg
IKULU MAJI BAFUNI YANAMWAGIKA TU SHIDA ZA MAJI UTAZIJUWAJE..?​
barabarambovu.jpg

article-0-0733CA59000005DC-875_468x686.jpg
hospitali watu mpaka chini wanalala kweli watapona au watazidi maradhi..?​
a.JPG

1513287_orig.jpg

y1pIjS-ngexYeXZcaGc6EmJ0Wn7iKb0XpLQwSrpGFGf61jTW-gVd8V1DVBA_ALx4MS_8o1HW8P1mEM

4653914.jpg

life.jpg

Tanzania-192-setting-550W.jpg

Arusha.JPG

masai_boma3_2.jpg
hii ni nyumba ya mtu na ona raisi wao wa tanganyika gari alilopakiwa pale juu
4141298db.jpg

wananchi wamechoshwa na udikteta wenu wanaona bora bendera ya E.U. kuliko bendera ya nchi yetu maana wanajuwa ni bendera ya viongozi tu waliyo madarakani na watakao stafu lakini mwananchi hana lake nateseke mpaka afe viongozi wanakula raha tu
gavana_wa_bot2.jpg

kwa nini musiwajenge wananchi nyumba kama hizi..? familiya mbili zinaishi hapana wao wakaishi vizuri kama munavyo ishi nyinyi. viongozi matapel, majizi, walaghai,wauwaji, wanyanyasaji, waroho musiojuwa kukinai,wafujaji mali za umma,majangili musio na huruma na rai wenu,waongo na wanafiki wakubwa viongozi wote wa tanganyika na zanzibar yake pia nyote nyote kuanzia raisi mpaka sheha,jeshi mpaka mgambo.
IMG_2280%5B3%5D.jpg

MTAJI WA MASIKINI NI....?​
40149_172076812808656_100000190144545_642292_4077199_n.jpg

maridhiano-znz.jpg
HAWA NDIO WATU WANAO HITAJI BAJETI IWAFIKIYE ILA TUTAONA KAMA ITAWAFIKIYA MAANA MAWAZIRI HAWAKUSEMA TUWAJENGE MASIKINI AU TUHAKIKISHE MAJI NA UMEME WALILO SEMA NI KUWEKA BARA BARA MAANA WAO NDIO WENYE MAGARI MAZURI HAWATAKI YAHARIBIKE NA KUWALIPA POLISI MAANA NDIO WANAO WALINDA NA MALI ZAO UKIRITIBWA MTUPU
 
Kwa kweli hii habari inasikitisha,kama kweli wewe ni kiongozi unapitisha majeti hakikisha inalenga kweli kwa wananchi,sio bajeti ya kuangika katika wizara tu,watendaji wakamalizia mifukoni mwao.
 
Taarifa ya CAG Kupunguka kwa hat saf katk wizara toka asilimia 87 mpk 77. Sababu kutofata viwango vya kutoa taarifa za kihasibu, kutotekelezwa kwa udhabit, na ukosefu elimu ktk usimamizi.
 
Duh, hapa umemaliza mkuu. Kwa serikali hii maisha bora kwa kila Mtanzania ni
ndoto za mwendawazimu.
 
Back
Top Bottom