Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,171
- 3,346
Naona polisi wamepewa ulaji mwingine maana watakuwa wanakubambikia wakijua Tshs 50,000.00 ni nyingi hivyo ni lazima utafungua mlango mwingine ambao ni kuomba msamahama kwa kutoa rushwa.
Tehe teh teh......Kwani bajeti yenu lazima iwe trilion 12? inaweza kuwa trilion 18 si mnasema kuna vyanzo mbadala na matumizi yasiyo ya lazima? na mliahidi elimu bure mwaka wa kwanza wa utawala?
Huu ndiyo wakati muafaka mngetumwagia shule jinsi hii nchi inavyotakiwa iende,ningerudisha kadi yangu ya CCM.
Elimu bure inawezekana sema hilo ccm hawawezi kwa kuogopa kuwa wataambiwa ni sera ya chadema, embu nambie chadema watafanyaje elimu bure wakati hawaendeshi seikali..?
Hujanielewa,bajeti kivuli inatolewa na mbunge wa CDM.Elimu bure inawezekana sema hilo ccm hawawezi kwa kuogopa kuwa wataambiwa ni sera ya chadema, embu nambie chadema watafanyaje elimu bure wakati hawaendeshi seikali..?
Tehe teh teh......Kwani bajeti yenu lazima iwe trilion 12? inaweza kuwa trilion 18 si mnasema kuna vyanzo mbadala na matumizi yasiyo ya lazima? na mliahidi elimu bure mwaka wa kwanza wa utawala?
Huu ndiyo wakati muafaka mngetumwagia shule jinsi hii nchi inavyotakiwa iende,ningerudisha kadi yangu ya CCM.
Hujanielewa,bajeti kivuli inatolewa na mbunge wa CDM.
Hivyo basi ,nilitegemea atoe bajeti kulingana na ilani ya uchaguzi,kutokana na jinsi walivyosema kwenye kampeni,elimu bure!
Other than that,ni uhuni tuu!!!
Nina kadi ya yanga pia,Mkuu kutembea na kadi ya magamba mfukoni ni sawa na kutembea na laana kichwani itupe man haina tija hiyo....jiulize kama mwaka 2000 mchele ulikuwa kilo shilingi 600 na mshahara ulikuwa 120.000 haya leo mchele 1700 na mshahara 150.000 kuna maisha bora hapo..? kama una familia utanielewa mkuu inakula kwetu sana mpaka imefikia mahali walimu wanachangisha rambirambi za uongo kwa wanafunzi ili wajikimu
MISAADA NA MIKOPO:
57. Mheshimiwa Spika, katika bajeti ya mwaka 2011/12, Serikali inatarajia kupokea jumla ya misaada na mikopo yenye masharti nafuu kiasi cha shilingi bilioni 3,923.6, ikilinganishwa na kiasi cha shilingi bilioni 3,274.6 kwa mwaka 2010/11. Hili ni ongezeko la shilingi bilioni 648.99, sawa na asilimia 20, ukilinganisha na kiwango cha mwaka 2010/11.
Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 869.4 ni misaada na mikopo ya kibajeti na shilingi bilioni 3,054.1 ni misaada na mikopo kwa ajili ya miradi ya maendeleo ikijumuisha mifuko ya kisekta.
58. Mheshimiwa Spika, napenda kuwatambua na kuwashukuru washirika wetu wa maendeleo ambao wameendelea kutoa misaada na mikopo kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu licha ya nchi zao kuathirika na msukosuko wa uchumi Duniani.
Wahisani hao ni: Uingereza, Denmark, Uholanzi, Ubelgiji, Canada, China, Finland, Ufaransa, Ujerumani, Ireland, Italia, Japani, Korea ya Kusini, Norway, Sweden, Uswisi, Marekani, India, Benki ya Dunia, Benki ya Maendeleo ya Afrika, BADEA, Umoja wa Ulaya, Global Fund, Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Kuwait Fund, Nordic Fund, Opec Fund, Saudi Fund, na Mashirika ya Umoja wa Mataifa. Wote tunawashukuru sana kwa michango yao.
Hivi hii mikopo kutoka kwa wahisani itaisha lini? Nchi inaendeshwa kwa mikopo? Na haya madeni yatalipwa lini, hali ya nchi kuondokana na umasikini sio leo wala kesho mtawala huyu atapita na hata mwingine atakayekuja atakwambia analipa madeni yaliyoachwa nyuma.
Duh kwakweli sijui tunapoelekea. tutategemea hadi lini fedha kutoka kwa wahisani kuchangia bajeti yetu tena kwa nusu nzima ya bajeti?
Bajeti ya maendeleo kutegemea wahisani hii ni hatari kwa taifa serikali inatakiwa itafute vyanzo vingine vya mapato kwa ajili ya maendeleo.
Naona polisi wamepewa ulaji mwingine maana watakuwa wanakubambikia wakijua Tshs 50,000.00 ni nyingi hivyo ni lazima utafungua mlango mwingine ambao ni kuomba msamahama kwa kutoa rushwa.
Naona polisi wamepewa ulaji mwingine maana watakuwa wanakubambikia wakijua Tshs 50,000.00 ni nyingi hivyo ni lazima utafungua mlango mwingine ambao ni kuomba msamahama kwa kutoa rushwa.
Nina kadi ya yanga pia,
Sipendi uongozi uliopo yanga,na timu haituwakilishi kimataifa.....ushirikina tu!
Ila siwezi kuhamia simba au mtibwa.....nimezaliwa na kukulia Temeke.