Bunge la 10: A Wrong 1st Step!, A Wrong 1st Start!

Mkuu Ulokwitanga, asante kwa haya uliyoyasema miaka mitatu nyuma, sasa ndio tunayashuhudia!.
Paskali
 
Nabashiri kuwa ni moja ya mabunge yatakayokuwa magumu kama busara itawekwa kando halafu ushabiki ukatawala. Italeta vuguvugu kubwa la mabadiliko kuliko lile lililotokana na maamuzi ya kumfungia Zitto ubunge kwasababu ya kudanganya.
Mkuu Ndahani, ubashiri wako unatimia!.
 

Mkuu Pasco, wazee wetu wa zamani walikuwa wanatuambia KUA UYAONE,,,, sasa hii thread yako imekua na tumeyaona wenyewe madhara ya kuweka watu dhaifu kwenye uongozi kisa tu Mwanamke. Ila ni kama Mungu katuonyesha njia kwani 2015 hakuna mtu atathubutu kutuambia kuwa ni zamu ya rais mwanamke. Miaka mitano ya kutokuwa na bunge inatutafuna watanzania, Mh Sitta aliweka very high standards, tunamkumbuka kwa kweli; ingawa naye ALIPITISHAMO hoja zenye maslahi kwako, which is normal to all human being
 
Bi Mkubwa bunge limemuhelemea maana limejaa vijana machachari sana...hakuna habari za Kidumu chama na fikra za Mwalimu
 

Mkuu ulikuwa na maono !
 
Mkuu Ndahani, ubashiri wako unatimia!.

Pasco, vitu vingine havihitaji mtu kuwa mnajimu kuviona....viko very obvious! Tulio wengi hatujabadilika kimtazamo wakati mambo mengi yanayotuzunguka yamebadilika. Tutegemee nini sasa?
 
Kwa mnaoshangalia haya maroroso ya bunge letu, kwa kudhani, yameanza leo!, sie wengine tuliyaona since day one!, hivyo whataver hapens now!, its not a surprise!, leo bunge linajadili issue iliyopo mahakamani!, na spika yupo!.

Katiba mpya tuhakikishe spika wa bunge ni lazima awe mwanasheria!.

Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…