Bunge Kuzungumzia Sakata la Naibu Spika, Dk Tulia Ackson Leo

Babu wa Kambo

JF-Expert Member
May 2, 2016
559
808
1.jpg

KATIBU wa Bunge, Dk Thomas Kashillilah leo ataeleza kinachoendelea kuhusu kusudio la Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kutaka kumwondoa madarakani Naibu Spika, Dk Tulia Ackson (pichani).

Kambi hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe katika migomo yake dhidi ya vikao vinavyoongozwa na Dk Ackson, iliwasilisha kusudio hilo kwa Ofisi ya Spika wa Bunge wiki iliyopita kwa maelezo kuwa haina imani naye.

Kwa mujibu wa Dk Kashillilah, ataeleza kinachoendelea leo baada ya kumaliza kupitia taratibu zote na kujiridhisha kuhusu kila hatua inayopaswa kufuatwa kuhusu suala la aina hiyo.

“Nitaeleza kinachoendelea kesho (leo) baada ya kujiridhisha kuhusu taratibu zinazopaswa kufuatwa kuhusu suala hilo,” alisema.

Katika kusudio hilo lililowasilishwa na Mbunge wa Simanjiro, James ole Millya, Kambi hiyo ya Upinzani ilieleza mambo sita yaliyoisukuma kuona kuwa Dk Tulia hafai kuendelea kushika kiti cha Naibu Spika.

Mambo hayo ni upendeleo kwa wabunge wa CCM, kusimamia maslahi ya Serikali badala ya umma, kutokuwa mwanasiasa, jambo linalomfanya akose uzoefu wa kuendesha vikao vya Bunge, ubabe, unyanyasaji kwa wabunge wa upinzani na kusimamia fedha za Mfuko wa Bunge zirudishwe kwa Rais.

Millya alisema walipeleka kusudio hilo kwa Ofisi ya Spika kwa kuzingatia ibara ya 85(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayozungumzia hatua za kuchukua ili kumwondoa madarakani Naibu Spika.

Ibara hiyo inasema, “Naibu Spika atakoma kuwa Naibu Spika na ataacha kiti cha Naibu Spika ikiwa mtu huyo ataondolewa kwenye madaraka ya Naibu Spika kwa azimio la Bunge.

Hata hivyo, inaelezwa kuwa ili hoja hiyo ijadiliwe bungeni italazimika kujadiliwa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge ambayo nayo inahitaji theluthi moja ya saini za wabunge wote.
 
Theluthi moja ni kama wabunge 120 ambayo inaweza kupatikana iwapo akina mhe Kangi Lugola na wenzake wa ccm waliokwazwa na mwenendo wa naibu spika hawatageuka mawe.
 
Ukiona idadi flan haikuelew juu ya kile unachokifanya ujue HUELEWEKI hivyo huna budi kuachia ngazi hili ndo tatizo la kuchukuana nakupeana madaraka kwa kuangaliana mwishowe unaleta tabu, kwenye mambo ya msingi unaleta UNAZI
 
Hiyo ndio dawa na vibaraka.....wamuachie bunge atawale na kuendesha na wazee wa ndiooo.....!! Wapinzani kweli wa kuleta maendeleo watulie nje! Amewekwa kuharibu mambo na kulinda serikali sio kutetea!!
 
1.jpg

KATIBU wa Bunge, Dk Thomas Kashillilah leo ataeleza kinachoendelea kuhusu kusudio la Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kutaka kumwondoa madarakani Naibu Spika, Dk Tulia Ackson (pichani).

Kambi hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe katika migomo yake dhidi ya vikao vinavyoongozwa na Dk Ackson, iliwasilisha kusudio hilo kwa Ofisi ya Spika wa Bunge wiki iliyopita kwa maelezo kuwa haina imani naye.

Kwa mujibu wa Dk Kashillilah, ataeleza kinachoendelea leo baada ya kumaliza kupitia taratibu zote na kujiridhisha kuhusu kila hatua inayopaswa kufuatwa kuhusu suala la aina hiyo.

“Nitaeleza kinachoendelea kesho (leo) baada ya kujiridhisha kuhusu taratibu zinazopaswa kufuatwa kuhusu suala hilo,” alisema.

Katika kusudio hilo lililowasilishwa na Mbunge wa Simanjiro, James ole Millya, Kambi hiyo ya Upinzani ilieleza mambo sita yaliyoisukuma kuona kuwa Dk Tulia hafai kuendelea kushika kiti cha Naibu Spika.

Mambo hayo ni upendeleo kwa wabunge wa CCM, kusimamia maslahi ya Serikali badala ya umma, kutokuwa mwanasiasa, jambo linalomfanya akose uzoefu wa kuendesha vikao vya Bunge, ubabe, unyanyasaji kwa wabunge wa upinzani na kusimamia fedha za Mfuko wa Bunge zirudishwe kwa Rais.

Millya alisema walipeleka kusudio hilo kwa Ofisi ya Spika kwa kuzingatia ibara ya 85(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayozungumzia hatua za kuchukua ili kumwondoa madarakani Naibu Spika.

Ibara hiyo inasema, “Naibu Spika atakoma kuwa Naibu Spika na ataacha kiti cha Naibu Spika ikiwa mtu huyo ataondolewa kwenye madaraka ya Naibu Spika kwa azimio la Bunge.

Hata hivyo, inaelezwa kuwa ili hoja hiyo ijadiliwe bungeni italazimika kujadiliwa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge ambayo nayo inahitaji theluthi moja ya saini za wabunge wote.

Huko ni kupoteza muda hawa wapinzani hawajitambui,idadi yao haijai hata sebuleni halafu eti mumjadili mteule wa CCM na CCM ikubaliane nanyi,Tulia mtatulia nae kwa miaka 5.
 
Na imani wapo wabunge wengi wa ccm hawapendezwi na mwenendo wa NS,ikipitishwa na kamati ya haki ya bunge na kura ya siri ikapigwa..Ameondoka
 
Tulishafanya makosa kuchagua chama chakavu, ingawa ikikubalika kujadiliwa alafu ipigwe kura ya siri huyo mama hana chake.
Sidhani kama chama chakavu kilipata kura za kutosha lakini mechanism ambayo tulishindwa ni jinsi ya kulinda hizo kura. Ndio maana hata watu kama Kafulila walipata kura za kutosha lakini wanaishia kuusikia ubunge hadi leo!
Mtihani tulio nao sasa ni jinsi gani tudai haki maana walioishikiria wameipora kwa makusudi na wamejipanga kuona hairejei kwa wenyewe kwa vile hilo litamaanisha mwisho wao.
 
Back
Top Bottom