Bunge Kutokwenda Live............

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
12642880_1004441636269442_6855173972516860075_n.jpg
 
eeh waah imefunguka sasa, hicho ni kiburi na ishara ya dharau kwa wananchi. mwakilishi wa wananchi anadai haki ya msingi ya wananchi kupata habari waziri kwa upande wake anaona heri wananchi wasisikie kabisa bunge lao linafanya nini.
hawa viongozi wenye fikra za 200BC hawatakiwi kupewa hata kalamu tu za kuwekea saini kwenye mambo ya msingi.
 
Mkuu usidhani wajinga na wapumbavu hawajijui kuwa ni wajinga na wapumbavu. Wanataka waambiwe kuthibitisha ujinga wao na upumbavu wao. CCM ni ile ile
 
kabisa. hivi huyu waziri hajui hata katiba ya nchi inasemaje juu ya uhuru na haki ya kupata habari? kama ni hivyo hana wanasheria wakumshauri ?
 
Sisi mtaaani tunaogopa sana wajuzi wa kila kitu. Wazungu wanamsemo unaomaanisha mjuaji huishia na kujidhihirisha hajui kitu
 
hili taifa linaingia kwenye mikono hatari sana kila kukicha sijajua ni kwanini. watu wema nao wako kimya tu
 
Mkuu watu wema wanaongozwa na hekima ili wasipoteza fursa ya kesho kama hii unayoishuhudia

HIYO NDIYO HEKIMA YA KUKAMATA FURSA
 
Back
Top Bottom