kuna mchangiaji alianzisha uzi eti mnyika na Lisu wanafanya vituko bungeni. Ameshindwa kutambua anachofanya mnyika na wabunge wengine wapenda haki ni kutetea wananchi. Tunajua mnyika alitangaza nia ya kupeleka muswada binafsi wa marekebishe ya sheria ya hifadhi ya jamii na alishaanza kukusanya saini za wabunge ili kukidhi kanuni za bunge. Sasa magamba wanaona hicho ni kituko? baada ya kuona wataaibika wamekubaliana na nguvu ya umma.