Bunge kuonyeshwa Live

Njaro

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
356
787
Yatupasa tujiulize kabla ya kuwapo T.v Bunge lilikuwa halifanyi kazi zake ama walikuwa hawatimizi wajibu wao?
 
Je Kabla wazungu hawajaleta hospital watu walikuwa wanafanyiwaje operation? kwa hiyo wewe mleta taarifa unataka turudi huko? maajabu!!!!! Namkumbuka yule mgombea "Elimu, Elimu, Elimu"
 
Yatupasa tujiulize kabla ya kuwapo T.v Bunge lilikuwa halifanyi kazi zake ama walikuwa hawatimizi wajibu wao?
TUJIULIZE KABLA YA KUWEPO NGUO BINADAMU TULIKUA ATUISHI. TUBANE MATUMIZI YA KUTUMIA NGUO TURUDIE ENZI ZILE.... ZA KUVAA MAJANI NA NGOZ
 
Kabla ya kuwapo simu au pc ulikuwaga unatumia nini kwenye mawasiliano?Wewe ni pongo kweli, kwa hiyo turudi kwenye mawasiliano ya barua kwa kuwa kipindi kile zilikuwa na ufanisi?

Umenikumbusha enzi hizo nachunga ng'ombe na mbuzi miaka ile ulipotumia neno PONGO.Kule kwetu Pongo maana yake ni Dume la Mbuzi au Beberu japo inawezekana hapa ulipolitumia halina maana hiyo.
 
Kabla ya kuja ukristo hapa Afrika tuli watoa kafara watu wenye rishe duni kama wewe hili kuto kukiridhisha kizazi kilicho fuatia,je turudi uko tukuchome mishikaki tukule kwa pilipili na limao?
 
Back
Top Bottom