Bunge kuchangisha madawati kupitia michezo

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,903
2,884
Kamati ya Bunge ya michezo imepanga kutumia michezo kuanzisha changizo maalum kwa ajili ya kusaidia kupunguza uhaba wa madawati kwa shule zetu nchini.

Mwenyekiti wa kamati hiyo mheshmiwa William Ngeleja amesema wamekubaliana kutumia mechi za wabunge wapenzi wa Yanga dhidi ya wale wapenzi wa Simba kama sehemu ya kuhamasisha changizo hiyo.
 
bado kuna kaz kubwa xana ya kueneza nadawat kwan kunashule zetu hku wanafunz hawayajui nadawat yanafanana vp
 
Watanzania wakidhamiria mengi yanawezekana si madawati tu! Uzalendo uko chini ya ngozi zetu, tukikunwa kidogo tu uzalendo hujitokeza! Viongozi wetu wasichoke kutukuna!
 
Back
Top Bottom