kilimbamula
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,792
- 855
Waziri wa Habari ndiye mwenye dhamana ya kuisemea Serikali kwa jambo lolote lile. Ili kupunguza urasimu waziri husika anaweza kuzungumzia yale yaliyo ndani ya mamlaka yake.Kumbe Nape ni msemaji wa bunge na anataja hadi masharti na namna matangazo ya bunge yatakavyokuwa.Sawa yeye ni waziri mwenye dhamana lakini siyo msemaji wa bunge.
Yaani inasikitisha sana,hata hiyo studio Nape Nnauye atataka iwe chini ya wizara yake.Kumbe Nape ni msemaji wa bunge na anataja hadi masharti na namna matangazo ya bunge yatakavyokuwa.Sawa yeye ni waziri mwenye dhamana lakini siyo msemaji wa bunge.
Kwa waziri huyu tutasikia na kuona mengiKuna kitu bado sijaelewa hapo alipodai kuwa kuna vigezo vitakavyotolewa na mamlaka hiyo vya kuzingatia.
Hapo kuna kitu kinatafutwa kuminywa
Isomeke "censorship". Mtalishwa chakula maalum kama spika atakavyoagiza.Sasa ndo wanakwepa gharama? Yote ni kuficha tu udhaifu wa Bunge
kumbe kiasili lake Victoria ilikuwa inaitwa ziwa nyanza dah sikufahamKuna nini tena huko Dodoma mkuu? Mimi nipo kisiwani Lyakanyasi najitafutia riziki ndani ya Ziwa Nyanza/Victoria.
huu ni usanii katika ubora wake. hicho kituo kinaweza kuchukua hata miaka 10 kuanzishwa mpaka huyo mshua atakapotoka.
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lina mpango wa kuanzisha kituo chake cha televisheni kurusha matangazo ambapo kitakuwa kikurusha matangazo ya mijadala yake yote LIVE.
Hali hii itaviwezesha vituo vingine kuchukua matangazo kutokea katika kituo hicho ambacho bado hakijafahamika jina lake, tofauti na zamani ambapo walikuwa wakichukua matangazo TBC.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye, amesema hayo jijini Mbeya, wakati akizungumza na wadau wa habari, michezo, utamaduni na watendaji wa serikali mikoa ya Mbeya na Songwe.
Amesema kutokana na hatua hiyo Bunge lenyewe ndio limechukua dhamana ya kuanzisha studio yake hivyo kutoa fursa kwa televisheni nyingine kurusha matangazo ya moja kwa moja lakini kulingana na vigezo na masharti yatakayohalalishwa na mamlaka hiyo.
Amesema shirika la utangazaji la Taifa, TBC, lilikuwa linaagizwa kurusha matangazo ya Bunge bila ya malipo ambapo kwa mwaka shirika lilikuwa likitumia bilioni 4 kwa mapato yake ya ndani na kulifanya kushindwa kukarabati mitambo pamoja na mslahi ya watumishi hivyo, uamuzi huo ulikuwa sahihi licha ya wananchi wengi kuonesha kutoridhishwa.
Source: Bunge laanzisha studio kuzipa Tv zote fursa ya kurusha "LIVE" vikao vya mikutano - wavuti
kwani bunge liko chini ya TBC? gharama zitabebwa na bunge lenyewe, chemsha ubongo wako kidogoSasa ndo wanakwepa gharama? Yote ni kuficha tu udhaifu wa Bunge
Duu sasa hapo c ndo fisi atakuwa amepewa mfupa wape aliousubiria kwa muda mrefu!?
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lina mpango wa kuanzisha kituo chake cha televisheni kurusha matangazo ambapo kitakuwa kikurusha matangazo ya mijadala yake yote LIVE.
Hali hii itaviwezesha vituo vingine kuchukua matangazo kutokea katika kituo hicho ambacho bado hakijafahamika jina lake, tofauti na zamani ambapo walikuwa wakichukua matangazo TBC.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye, amesema hayo jijini Mbeya, wakati akizungumza na wadau wa habari, michezo, utamaduni na watendaji wa serikali mikoa ya Mbeya na Songwe.
Amesema kutokana na hatua hiyo Bunge lenyewe ndio limechukua dhamana ya kuanzisha studio yake hivyo kutoa fursa kwa televisheni nyingine kurusha matangazo ya moja kwa moja lakini kulingana na vigezo na masharti yatakayohalalishwa na mamlaka hiyo.
Amesema shirika la utangazaji la Taifa, TBC, lilikuwa linaagizwa kurusha matangazo ya Bunge bila ya malipo ambapo kwa mwaka shirika lilikuwa likitumia bilioni 4 kwa mapato yake ya ndani na kulifanya kushindwa kukarabati mitambo pamoja na mslahi ya watumishi hivyo, uamuzi huo ulikuwa sahihi licha ya wananchi wengi kuonesha kutoridhishwa.
Source: Bunge laanzisha studio kuzipa Tv zote fursa ya kurusha "LIVE" vikao vya mikutano - wavuti
we hapo ndio umeuchemsha!?!kwani bunge liko chini ya TBC? gharama zitabebwa na bunge lenyewe, chemsha ubongo wako kidogo
Alaa! ni Mbeya city kuna mpira tena hapo? haya.hiyo mbeya city mkuu
wee kiazi, TBC ndio inapunguza katumizi. muda mwingi imekuwabikijiendesha yenyewe. sasa kama pesa ya bunge inatoka TBC yatakuwa maajabuwe hapo ndio umeuchemsha!?!
na pesa za bunge zinatoka wapi?