Bunge Kuanza Wiki Ijayo: Tutazamie Nini??????????

Mtu wa Mungu

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
444
19
1: Kwa mara ya kwanza Serikali Kivuli ya CDM bungeni kuzinduliwa!!
2: Masakata ya kutikisa bunge:-
(a) Dowans; (b) Katiba Mpya; (c) Tume Huru ya Kuchunguza Matokeo ya 31.10.2010; (d) Hotuba ya rais ya kufungua bunge; (e) Tukio la Arusha; (f) Maadili ya kitaifa na ufisadi; (g) nk
:msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela:
 
Back
Top Bottom