Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 710
- 1,365
Bunge ni kisemeo cha Wananchi.Yaani baada ya wote Wananchi kwenda Bungeni tukaweka utaratibu mzuri wa kuwa na wawakilishi..
Kibaya zaidi wale ambao tuliona watatuwakilisha vema na Zaidi kutanguliza Uzalendo kwenye maslahi ya Taifa wao Kwa dhamira "Ovu" wameuza UTU..
Tufanye nini kukomesha hizi tabia?
KATIBA mpya na Tume ya Uchaguzi yenye Uwiano sawia pasi na kuteuliwa na Rais ..
Wananchi Kwa Umoja wetu tuonyeshe Kwa Vitendo kwamba Abadan hatuitaji dhuluma yoyote kwenye maslahi na Ustawi wa Taifa letu
Tukatae Kwa Vitendo na tupaze hasira zetu Kwa kiwango cha SGR kwamba mambo maovu wafanyie kwenye familia zao na sio Kwa"MAMA yetu Mpendwa Tanzania"