Mhongo na Maswi wakiondoka wizara ya nishati na Madini tumeumia watanzania. Sakata la escrow hatutalisikia wala kashfa hadi ataokee Mtanzania mwingine. Mti wenye matunda mazuri?
Heko Mhongo na team yako. Kuwa na kiburi hasaaaa kwa wadalalia nnchi. Mnafiki usimpe nafasi. Wakati watu wanakutukana mimi nakupongeza kwa kuwaonesha wazungu sisi siyo easy going kama ilivyozoeleka
Kodi zetu zinazid kuliwa tu.....ilitakiwa liishe leo sasa kesho si hela nyingne wanalipwa hawa jamaa dah
Hawa GB wamepakua JF,
Kodi zetu zinazid kuliwa tu.....ilitakiwa liishe leo sasa kesho si hela nyingne wanalipwa hawa jamaa dah
Punguza hasira mkuu
CCM wanaona ubaya gani wahusika kujiuzulu?? Hii ndo ticket ya kuondolewa mwakani.