Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,626
Mhongo na Maswi wakiondoka wizara ya nishati na Madini tumeumia watanzania. Sakata la escrow hatutalisikia wala kashfa hadi ataokee Mtanzania mwingine. Mti wenye matunda mazuri?
Heko Mhongo na team yako. Kuwa na kiburi hasaaaa kwa wadalalia nnchi. Mnafiki usimpe nafasi. Wakati watu wanakutukana mimi nakupongeza kwa kuwaonesha wazungu sisi siyo easy going kama ilivyozoeleka
Mat.ako ya......