mashikolomageni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 1,570
- 193
Hahahaha,samahani Mh spika hivi mtu mkuu wa Jf akisema uongo........hapana nadhan unamatatizo ya macho mheshimiwa hvyo wahi loliondo
Waheshimiwa wa bunge la JF naomba tuanze mkutano. Spika kikao kianze
Mh spika naleta hoja..........babu wa loliondo aletwe hapa bungeni si unjua ni noma kwetu kwenda kupanga foleni kule!
Mh.Spika taarifa,waheshimiwa wabunge wanalalamika kuwa kwa babu hakuna network ndo maana hawachangii na foleni ni kubwa sana.
Mh spika naleta hoja..........babu wa loliondo aletwe hapa bungeni si unjua ni noma kwetu kwenda kupanga foleni kule!
Muhishimiwa suppika, baada ya kupokea malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wanafunzi, nimeamua kuleta hoja. Ni hivi, wanataka bei isibaki kuwa nusu ktk madaladala tu, bali hata ktk magesti na madisco. Coz hizi ni sehemu muhinu za kurefresh maindi zao. Nikiwa kama waziri nyuhusio za kuibia, nawasilisha.