Maistro 1
JF-Expert Member
- Sep 4, 2015
- 422
- 181
Hili bunge litaingia kwenye maajabu ya saba, kama siyo kumi ya ulimwengu. Yaani waziri anaongea kwa ujasiri na kujiamini sana kumbe anaongea na wabunge wenzake na cha kushangaza hatuwaoni?. Hiyo saa tano, wengi wetu tunakuwa tumelala.
Ukifanya tathimini ya haraka haraka wanaoangalia bunge na kufuatilia hiyo saa 5 usiku ni wazee wa zamani wa CCM, lakini wa sasa nao hawaangalii.
Hili bunge limekuwa kama mikutano mikuu ya vyama inayoangaliwa na wafaasi wa vyama hivyo.
Hili bunge sitaacha kuwasilimulia wajukuu wangu na wadogo zangu watakaofikisha miaka 18 kati ya mwaka 2020 na 2025.
Aseeeee. Waziri anaongea kwa ujasiri ila sisi hatumuoni, tunapata vipande tu vya sekunde kwenye taarifa za habari.
Hii definition ya kukuwa kwa demokrasia kwa namna hii ipo Tanzania tu.