plo lumumba jr
Senior Member
- Nov 8, 2014
- 111
- 79
nlimskia spika makinda akiahirisha bunge mpaka saa kumi jioni. sasa professor wetu karudi t.v station zote zimehamia kwake. madudu ya escrow tunafichwa watanzania.
Bunge hamna au
Nilikuwa naangalia kupitia starbunge limeairishwa hadi saa moja.
Ni zaidi ya nusu saa sasa mie sipati picha hapa.Hizi stori inabidi akasimulie wajukuu zake
Ni zaidi ya nusu saa sasa mie siati picha hapa.