Bunga kiboko kwa wanaume "Dakika mbili"

Tahadhari ya hiyo dawa,ukipaka kichwa cha uume hautaweza fanya chochote maana dudu yote inakufa ganzi.
 
Aiseee umenikumbusha siku moja somewhere haaaaaaaaa
 
Hiyo haiongezi nguvu inachofanya ni kupunguza sensitivity tu.
Ina chemikali inaitwa benzocaine
MADHARA: Utafanya kwa muda mrefu sana bila kufikia orgasm vilevile hupunguza starehe
 
Hiyo haiongezi nguvu inachofanya ni kupunguza sensitivity tu.
Ina chemikali inaitwa benzocaine
MADHARA: Utafanya kwa muda mrefu sana bila kufikia orgasm vilevile hupunguza starehe
Ni kweli kabisaa mkuu, Kuna simu mi nishatest mwisho wa siku cjapata flavout yoyote, Tangu siku hiyo sitaki kusikia hiyo mambo,
 
mkuu mzigo umeahafika Dar. nitafute pm
 
Mimi nipo kigoma nielekeze nipo hapa mwanga sokoni kesho nageuka kurudi dar
 
Kweli wanaume ni kama mitoto akili zimeshikiliwa na viungaaaa na vimizizi kwa ajili ya mapenzi.
Kuweni wabunifuuuu unaaangaika na maunga alafu ubunifu zirooo kaa na akili zako
calm down calmdown please sawa...bila shaka kapata ujumbe just relax now
 
Hahaaa!ndo zangu hizo mwanawane,napampu huku nawaza madeni ya mikopo nnayodaiwa
 
umenichekesha sana mkuu yani unawaza matatizo kwenye kugegedana.
you dont enjoy the rthym nor the vibe....
 
Wanakojoaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…