Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,284
- 2,593
Unaweza kumiliki lakini mpaka polisi wapate taarifa zako kamili sababu za kumiliki, Afya ya akili nkChombo makini sana, ukiwanacho lazima ujiamini, hivi inaruhusiwa kumilikiwa na raia?
Ak 47 aifananishe kwa uhatari labda na SMG 56 au M16 rifle. Kumlinganishia na LMG( Brain supporters) ni zarau sana. Hili somo nakumbuka sikua na Usingizi kabisa ๐คฃ๐คฃAk 47 siyo bunduki hatari ulimwenguni ila ni bunduki iliua watu wengi zaidi duniani, kwenye hatari zipo bunduki hatari Ak47 haifikii uhatari wa Light machine gun (LMG)
Silaha ndogo ya kivita hiyo sidhani kama inaruhusiwa.Unaweza kumiliki lakini mpaka polisi wapate taarifa zako kamili sababu za kumiliki, Afya ya akili nk
Nadhani anamaanisha hatari Kwa impact iliyoleta mpaka sasa kwenye dunia yetu.Ak 47 siyo bunduki hatari ulimwenguni ila ni bunduki iliyouwa watu wengi zaidi duniani, kwenye hatari zipo bunduki hatari Ak47 haifikii uhatari wa Light machine gun (LMG)
Kwa Tz Ak47 hairuhusiwi kumilikiwa na raia hakuna kibali hicho na ukikutwa nayo zama hizi kama una familia kesho yake watoto wako watakua wanaitwa watoto wa marehemuUnaweza kumiliki lakini mpaka polisi wapate taarifa zako kamili sababu za kumiliki, Afya ya akili nk
LMG na AK47 zina kazi tofauti mkuu, na kawaida kama kwenye platoon anawezashika corporal au sergeant, anaweza kuwa na support au man alone, hizi ndio wanapigaga kelele wanapokuwa full assault kwasabu inaweza haribu masikio.Ak 47 siyo bunduki hatari ulimwenguni ila ni bunduki iliyouwa watu wengi zaidi duniani, kwenye hatari zipo bunduki hatari Ak47 haifikii uhatari wa Light machine gun (LMG)
Kuna bunduki ambayo sio hatari kwa uhai wa mtu?๐๐๐ป๐ฑ๐๐ธ๐ถ ๐ต๐ฎ๐๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐๐น๐ถ๐บ๐๐ฒ๐ป๐ด๐๐ป๐ถ
Bunduki hatari ulimwenguni ni Ak 47 ambayo iligunduliwa miaka ya nyuma na mtu mmoja kutoka nchi ya urusi anaitwa Mikhail Kalashnikov.
View attachment 3136889
Wanasema Uvumbuzi ni kitu kizuri ulimwenguni haswa kwenye historia ya binadamu lakini baadhi ya vitu ambavyo vinavumbuliwa vinakua ni hatari Tena kwa watu.
Moja kati ya bunduki yenye kuleta madhara kutokana na Uvumbuzi wake mpaka Leo ni Ak- 47 ambayo maafa yake yalimpelekea mtu aliyegundua kuweza kujutia kwanini amegundua hiyo bunduki ya Ak 47 kwenye maisha yake.
View attachment 3136890
Iligunduliwa mwaka 1947 na kuanzia kutumika 1948. AK 47 kirefu chake ni Automatic Kalashnikov 1947 lengo kubwa ni kutumika kipindi cha vita ya pili ya Dunia dhidi ya ujerumani.
View attachment 3136891
walikua wanahitaji bunduki ambayo inaweza kufyatua risasi Moja Moja pia kwa wingi kwa haraka.
โข Mikhail alifanikiwa kutengeneza hii bunduki kwani inatumika kwenye mazingira yoyote Yale magumu au rahisi kuanzia kwenye joto, baridi Kali , ukame au mvua.
View attachment 3136893
Ni bunduki ambayo imesambaa ulimwenguni kote kutokana na nchi ya umoja wa kisovyeti kuweza kutoa kibali nchi nyingi kuandaa.
Sifa zake kwa ufupi tu ๐
๐ Inatumia risasi zenye ukubwa wa 7.62ร 39mm
๐ Urefu wa mtutu wa Ak ni 415mm
๐ Ina uzito wa 3.26 au 4 kilogramu
๐ Kwenye magazine inapakia risasi 30 ๐ซ
๐ Unaweza kupiga mpaka umbali wa kufikia mita 800 huku effective range yake ya mtoko wa risasi ni mita 400 effective range kabisa.
View attachment 3136895
Imegawanyika sehemu kuu Tatu kitako cha bunduki , mwili wa bunduki pamoja na mtutu wa bunduki.
Ulikua unajua hii? Tuachie maoni yako ๐
#AK47 #Bunduki #Fahamu #fahamuzaidi #bongotech255
Hii sio AK47
Bunduki zote kazi yake ni moja kuua hamna kazi tofauti kati ya Ak47 na LMG ila uwezo ndo tofautiLMG na AK47 zina kazi tofauti mkuu, na kawaida kama kwenye platoon anawezashika corporal au sergeant, anaweza kuwa na support au man alone, hizi ndio wanapigaga kelele wanapokuwa full assault kwasabu inaweza haribu masikio.