Naomba kujua hili kwa vile
hadi mwanzoni mwa wiki hii utaratibu wa Vodacom wa 40MB kwa Tsh.2500.00
ulikuwa unaendelea lakini leo nimejaribu ku-recharge na kuomba hiyo
huduma ikanigomea,kulikoni?
Naomba kujua hili kwa vile hadi mwanzoni mwa wiki hii utaratibu wa Vodacom wa 40MB kwa Tsh.2500.00 ulikuwa unaendelea lakini leo nimejaribu ku-recharge na kuomba hiyo huduma ikanigomea,kulikoni?
Naomba kujua hili kwa vile hadi mwanzoni mwa wiki hii utaratibu wa Vodacom wa 40MB kwa Tsh.2500.00 ulikuwa unaendelea lakini leo nimejaribu ku-recharge na kuomba hiyo huduma ikanigomea,kulikoni?
Zimeshafutwa tangu Februari 10; sasa hivi kutakuwa na MB500 kwa TSH.3,500/= na zitadumu kwa siku 10 tu. Upo hapo mdau?????