Bundi na mchawi

Bundi na mchawi

george pk

Senior Member
Joined
Jun 15, 2020
Posts
125
Reaction score
166
Wadau wa JF bila shaka mko salama, Naomba kufahamu mwenye kuelewa., kuna uhusiano gani kati ya BUNDI na MCHAWI kama watu wengi wanavyodai?

Na watu wengine poa husema FISI nae wakati mwingine hutumiwa na wachawi.

Naomba mwenye uelewa apate kunipa Elimu juu ya hili..
 
Walozi ndio hutumia bundi kama sehemu ya uchawi wao, lakini kiasilia bundi na fisi sio wanyama wa uchawi
 
Kuna mmoja alikua analia juu ya bati la nyumba yangu kwa vipindi tofauti tofauti na muda ni ulele ule saa kumi na moja asubui...nikawa natoka namwangalia na yy ananiangalia...namwambia kama umepumzika hapo ww pumzika tuu then uendelee na sfr yako...alishalia kama mara tatu hivi...kwa kupishana miezi....ila nimeona baraka zimeongezeka kwny nyumba yetu 😆 😆 😆 😆 😆 toka mara ya mwisho alie imepita miezi 6....
 
Kuna mmoja analia hapa siku ya tatu leo, mlio kama anakabwa!!
Sijali
Wala usijali..kama ww ni mpenda kusoma mambo..tafuta uhalisia wa bundi kwny imani tofauti tofauti utaona...ni vile mtu hupelekeshwa na anavyowaza....
 
Mchawi katoka kuniminya sasa hivi,,mwili ulikuwa umekufa ganzi kama dk Moja ivi ,,kweli uchawi upo
 
Back
Top Bottom