Bundi kutua tena CCM!

CCM ni chama cha siasa! katiba yake SI nzuri kwa walafi/Mafisadi wa madaraka/mali,hivyo ni bora watu hao wakakimbia kwa wenzao wenye mambo ya ubabaishaji! na pindi kazi ya dk john itakapoanza,mwenge utakimbizwa nchi nzima kutokomeza wahujumu uchumi!
 


Sio kweli ni abdakadabra
 
Mkuu magufuri mbeya leo ndio kapata joto ya mabadiliko maana alitamani ardhi ipasuke ajifiche kuzomewa

Magufuli anaogopwa sana.
Mpaka watu wanatuma makundi ya kumzomea 😆
 
Magufuli kama anataka mabadiliko aje UKAWA tutakuja kumpa uwaziri wa ujenzi tena kwa huruma TOROKA UJE OPERESHENI INAENDELEA
 
Magufuli anaogopwa sana.
Mpaka watu wanatuma makundi ya kumzomea 😆

Kuzomewa ni ishara ya kutokubalika.kama wewe unampenda Magufuli mpeleke nyumbani kwako ukanywe naye chai sisi hatutaki Magufuli wala makomeo
 
Taarifa kama hizi mwenyewe ni Lizaboni...wewe unajitungia tu

Huyo unayemsema, nadhani ama kuna mtu huwa anatumia id yake au kuna wapo wawili!

Kuna mmoja wa jina hilo ameleta uzi wa taarifa anayodai ni ya ukulu kuhusu Tanzania kupewa fedha Fulani za mkopo, sasa "yanga2000, mwna jf" akaleta habari za kukanusha kutoka kwa hao wanaodaiwa kutupa huo mkopo!

Kama yeriko anashikiliwa kwa sababu za uzushi, sasa sijui huyo uliyemtaja kwanini bado anapeta!
 




hii ni taarifa ya kizushi na kipumbavu, mambo ya kuleta uzushi hapa ni dalili ya ubwabwa.... Naomba tuwe tunakuja na taarifa credible na uhakika.
 
Magufuli kama anataka mabadiliko aje UKAWA tutakuja kumpa uwaziri wa ujenzi tena kwa huruma TOROKA UJE OPERESHENI INAENDELEA

Nani kakudanganya kuwa UKAWA kuna mabadiliko? mabadiliko yaliyofanyika ni kuondoa viongozi waadilifu na kuchukua genge la wezi, huko wanataka kugawana visima vya gesi na mchezo unaishia hapo. Lowa kawapatia vijisenti kidogo wameparaganyika ovyo, wameonekana ni simba wenye njaa kali sana, je wakipewa nchi itakuwaje? Makamanda tuliowaamini sana wamevuta posho na kubadilisha upepo ndani ya chadema na UKAWA. Hivi unaweza kusimama hata bila aibu na ukasema Lowasa atakuletea mabadiliko ww, hajayafanya Monduli, je leo ataweza kuwafanyia watanzania wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…