Bundi kutua tena CCM!

Si Magufuli mwenyewe kasema..atashangaa kabaki na Bulembo asiyejua kusoma wala kuandika,posho zake anasaini kwa dole gumba
Usishangae magufuli nae akasepa,wewe unadhani kwa nini magufuli hasemi ccm oyee,badala yake utamsikia akisema either magufuli oye,au serikali ya magufuli au M4C au peopleeeees?
 

Nawakubali sana wasabato wana maadili mazuri na hofu ya Mungu. Umenena vyema.
 
Ni kweli kabisa, hata mm nahamia ukawa rasmi tar 2october. Nitatangaza live kwenye Facebook page yangu
 

Hata Mimi niko CCM lakini kura yangu inaenda UKAWA
 
Waje tu af iwe ni mwendo wa ukombozi yaan km walivyong'oka KANU na CCM ifuate mkondo na natamani hata Magufuli abwage manyanga ili chama kife kabisa
 
Itakuwa moja ya habari njema kuelekea mabadiliko ya kweli
 
Mbona wanachelewa sasa wajiunge kabla ya uchaguzi siyo tumeshachukua nchi ndiyo waje!! ! Hakuna nmna nyingine ccm lazima ife
 
Na waje tu..maramana hakuna namna eenh..maramana tumechoka sasa!!
 
Futa delete kabisa hao ccm,chagua LOWASSA chagua UKAWA viva CHADEMA
 
UKAWA wakiambiwa ni Kinana anahama watafurahi sana.....
 
Hapa sio taarifa yeyote, yani hakuna ulicho andika. Bora wengine muwa mnakaa kimya na kuaoma uzi wa wenzenu tu.
 
...mkuu bundi alishaweka kambi ccm tangu kitambo sana anachofanya sasa ni kutotoa tu. Subitri ukawa waanze kampeni ndo utajua maana ya bundi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…