BUNDI ANAUZWA

Nina bundi wananisumbua hapa mtaani... Ukipata soko nishtue nami nkauze
 
Nenda WCB kuna bundi hapo anaitwa lavalava
 
Bundi ndege wa maana sana kuwamaliza panya na nyoka nyakati za usiku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…