Bundi Amelia Precision Air Madeni yamewazidi baada ya kubebwa sana

Mpe Sauda nafasi ya kufanya kazi, ungekuwa unajua Janga aliloliacha pale Kioko usingemshambulia huyu dada namna hii, japo analazimika kurekebisha haraka hayo matatizo madogo lakini ya msingi kwenye service industry.

Kwa taarifa tu Kioko alikuwa anaajiri maconcubine wake,He never even cared kama kampuni inahitaji kuajiri kweli au la, akivuliwa chupi tu anaandika na offer letter. you can imagine what kind of staffing he has left behind suppose you know what staffing is for in the service industry.

Mkuu my first impression kwa huyu dada naona kama ni KIMEO,,, atanisamehe kama atakuja kufanya vizuri huko mbele.

During my last trip from Mza to Dar, desk officer pale Mwanza alikuwa anaongea na simu muda wote na kufanya watu tusimame zaidi ya nusu saa kwenye foleni. Watu wakilalamika anasema simu za kikazi, she was MULTITASKING all the way. Worse enough akaona hata UVIVU kuingiza PAA Royal number kwenye ticket yangu kwa kuona uvivu ku_CLICK mara kadhaa ili niongeze point zangu. To me this is a very sign of POOR MANAGEMENT, enzi za Kioko kulikuwa na matatizo lakini labda ni ya ndani, huku nje tulikuwa hatuona. Saizi tunaona hata wale wahudumu wa ndani ya ndege wameanza kuwa na EGO, wakati wa Kioko sikuona ego. Sauda kwa kweli kazi anayo, ninaona kila dalili ya USWAHILI kuongezeka kwenye hili shirika kila ninaposafiri, na mimi hili shirika nalipenda zaidi ya lile la WAZUNGU kwa kuwa hata bei hazitofautiani sana na FASTJET ila tu fastjet wamejipanga sana kutoa huduma bora kwa wateja na kutokuwa na visingizio vingi.

Sauda ni janga la Afrika Mashariki, sidhani kama anaweza kuokoa hili shirika.
 
Dangote, Mwanza ni one hour Journey? again, air transport is leisure,you got to be ready to pay for it, ila kama wameondoa bia na kuanza kutoa pipi watakuwa wanafanya mchezo wa kijinga sana, drinking beer in the air is just an interesting experience.

Yeah ni one hour na dakika 15 kama unasafiri na boeing ile ya precision ila wameiondoa ukitumia zile zingine ni masaa mawili na nusu,sikiliza kwa flight za ndani tuache kufikiria usafiri wa ndege as leisure uwe tu usafiri wa haraka na affordable sasa ww unalipishwa elfu 65 zaidi ili upewe bia jiulize ndani ya hayo masaa mawili utakunywa ngapi na je its worthy elfu 65 kumbuka lengo ni kusafiri na sio kustarehe mbona hapa dar watu wanaganda kwenye foleni posta -tegeta hayo masaa mawili ya daladala na huitaji bia kama unataka leisure panda emirates first class nenda dubai humu ndani tunataka cheap fares maisha yaende!
 
Noted.
 
Kenya Airways wamepata hasara ya mamilion ya pesa. Hii industry inataka mtazamo tofauti kuiendesha. Ilivyo sasa hata South African Airways is bailed by their government.
 
Itafika mahari makampuni ya ndege yanayo toa huduma za ndani ya nchi yatakufa vitabaki vile vikunguru vya kukodi.
 
Back
Top Bottom