Bunda tumeangusha Mbuyu

Mkuu Mmawia pongezi nyingi sana kamanda, tokea wahuni wauondoe mtandao huu hewani nilikosa namna ya kukupa pongeza.

Arusha tulifanyakazi yetu kwa sehemu na sasa tunasubiri kumpitisha Lema na ukizingatia tuna majeraha...........

Aisee tafadhali sana kamanda msifanye kosa kabisa ni kuendeleza kipigo kwa hao wahuni
 
Last edited by a moderator:

Hebu tujikumbushe...Mzee alisema ushindi ni saa 3 asubuhi

#MboweMustGo!
 
Kuna jamaa yangu aliniambia kichwa ya namna hiyo ni senti ya kutosha sana..!!
 
Hakukuwa na namna nyingine zaidi ya kuung'oa huo mbuyu. Amewadanganya wanabunda muda mrefu sana kushiriki kuleta maendeleo akaishia kulala bungeni.
 
Hakukuwa na namna nyingine zaidi ya kuung'oa huo mbuyu. Amewadanganya wanabunda muda mrefu sana kushiriki kuleta maendeleo akaishia kulala bungeni.

Sasa itabidi arudi kwao kuleeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…