Pamoja na kuangushwa sidhani kama ana wasiwasi wowote kwani atateuliwa na Magufuli
kwenye zile nafasi 10 za wabunge wa kuteuliwa. Au yeye (wassira) hastahili?[/Q
Kwanini umteue mtu ambaye wananchi wengi wamemkataa?
Nafuu wakazi wa bunda mmeamua kumpumzisha kwa mtutu wa kura,sasa atapata muda mzuri wa kuuchapa usingizi,ata akiamua ashide amelala nisawa,hongeleni sana wana bunda.
Kwanza niwapongeze sana wakaazi wenzangu wote wa Bunda kwa kujitambua na kuamua kumpiga chini Stephen Masato Wassira kwa kishindo na kumchagua binti Bulaya; Asanteni sana na tutegemee mawazo mapya sasa na maendeleo ya jumla kutoka kwa mbunge shupavu Ester Bulaya.