Pamoja na kuangushwa sidhani kama ana wasiwasi wowote kwani atateuliwa na Magufuli
kwenye zile nafasi 10 za wabunge wa kuteuliwa. Au yeye (wassira) hastahili?[/Q
Kwanini umteue mtu ambaye wananchi wengi wamemkataa?
ha ha ha mkuu nilikosa raha kutokuwa hewani kwa JF. Ni swaga kama hizi
Yuko TBC1 ss hv anazungumzia maswala ya uchaguzi Zanzibar! Bado anamtetea Jecha kuwa kuliwa na mapungufu
kweli hili ni libuyu ambaye hastahili kupewa cheo chochote