Sisi wakaazi wa bunda tumedhamilia kuipiga CCM chini kuanzia diwani,mbunge hadi rais hiyo ni adhabu kwa serikali ya CCM baada ya kutudanganya kutupatia maji safi na salama kwa muda wa zaidi ya miaka yoote ya uhuru.
Hivi uko bunda uko peke yako? Kila siku wewe ni chuki tuuu. Utadhani vikatio vyote vya wabunda unalala navyo. Kaa ukiota hivo hivo.
Naona unanichagulia sehemu ya kuishi,pole sana
Mimi ni mkazi wa bunda nakuomba mihemuko ya siasa hisikuondoe akili kwani huwezi kumpangia mtanzania sehemu ya kuishi
mihemuko ya siasa ndio kitu gani,silipwi wala kulishwa na siasa,but narudia tena wewe si mkazi wa bunda.
Kujiandikisha kunahusiana vipi na asili yangu?au wewe kwako anaye amua kutoipigia ccm kura basi ni mtu muongo?
wewe si mkazi haimaanishi asili yako,inamaanisha huishi bunda na hujajiandikisha huko.
Namimi nakwambia kuwa mimi ni mkaazi wa bunda na ukweli ni kuwa safari hii tumedhamilia kuwachagua wapinzani ili watuletee maendeleo kama walivyo nufaika wakaazi wa musoma
Mimi nipo bunda nimejiandikisha bunda na kura nitapigia hapa bunda na kampeni zinaendelea kuhakikisha tunawachagua wapinzani na kumpiga chini tyson
Wamefanya cdm mambo mengi ya kujivunia kuliko huyu mbunge wetu hapa bunda kashindwa hata maji wakati alikuwa waziri mwandamizi,tunamuadhibu mwaka huu
Mmawia uzuri wewe ni msahaulifu,nitakukamata sehemu tu na nitakukumbusha.hivi ester bulaya alisoma shule gani hapo bunda?
sijakataa wasira hakufanya kitu,but narudia palepale wewe si mkazi wa bunda,nishasoma baadhi ya post zako unadanganya.