Bunda: Mwanafunzi avunjwa mkono na mwalimu

Bunda: Mwanafunzi avunjwa mkono na mwalimu

"Nimeamua kumuona OCD kwani nimezungushwa sana na askari wa kituo cha Kibara sijui kuna nini nyuma ya pazia maana siku moja nilishuhudia mtuhumiwa wetu muda wa jioni akiwa kituoni hapo kwa muda mrefu, labda kuna jambo liko nyuma ya pazia sasa ni kwanini wananinyima PF-3 wakati ni haki yetu


Walimu wa kanda hiyo wanashida, kwanini wanakuwa na roho mbaya!!?

Haya sasa Mkuu wa kituo waweza kuondoka na mwalimu wako kwasababu ya kutotenda haki, zama hizi ni mbaya, zinduka!!!
 
Back
Top Bottom