Mlima wa Bunda - pazuri na napakumbuka !Kutokea mlimani.
View attachment 916094
pamoja sana kiongozi, Bunda pako vizuri sana kwa kula samaki wabichi...yaani unawakuta wanahema ...ukimkata anaruka duh!!!Hahaha sawa mkuu, mimi pia wakati nipo huko nilikua mdau mzuri wa genge la jioni
samaki anawekwa mezani akiwa bado anahema....dah natamani nirudi kutembea hukoHahahahha samaki wa v wonder
Huyu ni George Marato?