Bunda kata ya nyasura hali mbaya kwa CCM

Bunda kata ya nyasura hali mbaya kwa CCM

Ushahidi mwingine gari tatu defender za polisi zikiwa na FFU takribani 20 kila gari zimeingia mda huu hapa bunda zikielekea kwenye kituo kikuu cha polisi na mda wa saa 5 kuna gari nyingine ya FFU ilipita sasa lile angalizo langu kuwa Ccm wana hali mbaya ndio hilo limetimia wana tumia dola kukandamiza demokrasia ila kwa hapa nyasura awapiti kabisa
 
Kaka acha uongo nipo nyasura ccm inapumulia mashine hapa gengeni, chuoni, makumbusho na manyamanyama yote chadema inapepea kwa hewa ushindi wao tu 100%
 
Naweka picha zipo gari 8 za ffu zinazunguka kata ya nyasura kutisha watu ili kesho wasijitokeze kupiga kura hii ndio habari ya Wassira na Nape kuvishurutisha vyombo vya dola vihusike kesho kuiba kura
 
Kasimu ka mchina si sawa
 
Wassira na mkuu wa wilaya wamewaagiza ffu kuzunguka kata nzima ya nyasura ili kuwatisha wapiga kura hii kitu aikubaliki
 
Hali ni nzuri hapa uwanja wa chuo cha ualimu bunda watu ni wengi sana mwenyekiti wa chadema mkoa wa mara anamwaga point kuwa kesho ni kulinda kura na kupiga kura kwa Amani
 
Dc amewakataa mapolisi na amewafuata askari wa JKT ndio waje kulinda wakati wa uchaguzi
 
Roba madomo muyugu na mapambano ni vijana wa green guards ndio wanakata watu mapanga waliketwa na dc akishirikiana na viongozi wa Ccm mkoa wa mara
 
Mwita waitara mwikabwe yupo jukwaani
 
Back
Top Bottom