Bunda kata ya nyasura hali mbaya kwa CCM

sawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,752
Reaction score
932
Hapa nipo na na wananchi wa kata ya nyasura wananchi wanasema kuwa Wassira Nape na Jk ndio wanaharibu mchakato wa uchaguzi maana amehaidiwa mkuu wa wilaya akifanikiwa kuirudisha kata ya nyasura kwa ccm atapewa ukuu wa mkoa hali ni mbaya sana jana ffu wamepiga mabomu na kuchoma bendera za chadema chini ya ulinzi wa ffu
 
kwa vile ni tetesi ngoja tupite kwanza mpaka ziwe kweli ndo baadhi yetu tutalejea.
 
Hapa nipo na vijana wa nyasura wanasema kuwa ccm wakipata hata asilimia 35 ni nguvu ya FFU
 
Uko Nyasura sehemu gani maana mie niko hapa Centre kwa wacheza pool bar ya Lubanza vijana wote hapa wanamuunga mkono kijana mwenzao Alexanda Mwikwabe wa CCM.

Asubuhi nilikuwa Manyamanyama huko akina mama na vijana ni hiyena hiyena wanasubilia ushindi tu.

Acha kupotosha watu na taarifa zako ni uzushi.
 
Huo ndio ukweli mkuu jana usiku ffu wakishirikiana na green guard walikuwa wana choma bendera zote za chadema mtaa kwa mtaa hujuma ni nyingi sana ila ccm hampati kura yeyote
 
Mods naombeni mbadilishe topic hii iwe hali mbaya kwa chadema huku viongozi wa juu wa chadema wamemkimbia mgombea wao baada ya kuona hali yao 0.1%
 
Mpango uliobuniwa leo na Mkuu wa wilaya kushirikiana na ffu kuwa kuanzia saa 1 usiku kukamata vijana wote watakaokuwa wanaonekana wako katika vikundi ili wasiweze kupiga kura naomba nitoe Rai kwa viongozi wote wa chadema bunda kuhakikisha mkutani wa kampeni unamalizwa kabla ya dk 20 kabla ya mda urio ruhusiwa kisheria ila kuwawezesha watu kurejea mayumbani mapema
 
Uko Nyasura sehemu gani maana mie niko hapa Centre kwa wacheza pool bar ya Lubanza vijana wote hapa wanamuunga mkono kijana mwenzao Alexanda Mwikwabe wa CCM.

Asubuhi nilikuwa Manyamanyama huko akina mama na vijana ni hiyena hiyena wanasubilia ushindi tu.

Acha kupotosha watu na taarifa zako ni uzushi.

kweli kabisa mkuu halafu kama hali ya ccm ni mbaya mbona jana chadema wamepanga kufanya fujo kwenye eneo la wanyama eti waichafue ccm.
 
chadema wataisoma tu hata iwe vipi labda warushe bomu kama arusha.
 
Hapa nipo na na wananchi wa kata ya nyasura wananchi wanasema kuwa Wassira Nape na Jk ndio wanaharibu mchakato wa uchaguzi maana amehaidiwa mkuu wa wilaya akifanikiwa kuirudisha kata ya nyasura kwa ccm atapewa ukuu wa mkoa hali ni mbaya sana jana ffu wamepiga mabomu na kuchoma bendera za chadema chini ya ulinzi wa ffu
inabidi muwe kama watu wa Arusha walivyofanya,pamoja na mauaji bado wakashinda 4-0
 
Chuki nimewabamba Nchee diwani na kiongozi wa mamlaka ya mji wa bunda kwenye bar mmoja wakipanga mikakati miovu baada ya kutuona tu wakakimbia mara 1 walikuwa na gari nyeupe corola T 842 AYP
 
Tumewaona wakitoka hapa Makumbusho bar na bado tunawafuatilia
 
Chuki kama hali ni mbaya kwa chadema jana usiku ffu wasinge biga mabomu na kuwaamuru green guards kuchoma bendera za chadema na mkuu wa wilaya asingeshurutishwa na wassira ahakikishe ccm wanaiba kura mwanzo mwisho
 
Kwa mala ya kwanza katika historia ya siasa ccm wamemaliza kampeni bunda jana na leo ni mikakati miovu ya kuiba kura na kuwapa kesi vijana
 
Kama wamefunga kampeni jana, na nyie kuwakomoa, fungeni mapema leo maana itakuwa Mwigulu keshapeleka kitu cha Al-shaabab huko na lazima kilipuke kwenye mkutano wenu leo.
 
Chonde chonde makene yeriko nyerere hiki suala la kumaliza kampeni leo mapema lazima litiliwe maanani maana hawa ccm wakishirikiana na mkuu wa wilaya na jeshi la polisi wamepanga kufanya kitu cha hatari sana
 
Hapa nipo na na wananchi wa kata ya nyasura wananchi wanasema kuwa Wassira Nape na Jk ndio wanaharibu mchakato wa uchaguzi maana amehaidiwa mkuu wa wilaya akifanikiwa kuirudisha kata ya nyasura kwa ccm atapewa ukuu wa mkoa hali ni mbaya sana jana ffu wamepiga mabomu na kuchoma bendera za chadema chini ya ulinzi wa ffu

Msipoacha bange na gongo mtakuwa kama huyu bavicha mwenzenu anafanya usafi ofisi ya Lema;

1620987_688701521226278_62794813_n.jpg
 
Uko Nyasura sehemu gani maana mie niko hapa Centre kwa wacheza pool bar ya Lubanza vijana wote hapa wanamuunga mkono kijana mwenzao Alexanda Mwikwabe wa CCM.0

Asubuhi nilikuwa Manyamanyama huko akina mama na vijana ni hiyena hiyena wanasubilia ushindi tu.

Acha kupotosha watu na taarifa zako ni uzushi.
Hahahaaaaaaa, ndoto za abunuwasi
 
Uko Nyasura sehemu gani maana mie niko hapa Centre kwa wacheza pool bar ya Lubanza vijana wote hapa wanamuunga mkono kijana mwenzao Alexanda Mwikwabe wa CCM.

Asubuhi nilikuwa Manyamanyama huko akina mama na vijana ni hiyena hiyena wanasubilia ushindi tu.

Acha kupotosha watu na taarifa zako ni uzushi.
Uko angle gani kwenye bar hii ya Lubanza, niko karibu na kaunta, vijana wote hapa wanaiunga mkono CHADEMA

Nimetoka Manyamanyama huko akina mama na vijana wanasubiri tu NEC itangaze ushindi wa CHADEMA.

Back
Top Bottom