Poleni sana wahanga wote wa tukio hili hasa kipindi kigumu kama hiki cha mwanzo wa mwaka. Mungu mwenye rehema awarehemie marehemu wote wapumzike kwa amani... Amina. Na majeruhi awape kitulizo cha maumivu yao na kwa rehema zake wapone haraka ili warudi katika ujenzi wa taifa