Young Warlock
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 328
- 112
Habarini,
Nimetembelea Makongo Juu lakini nimegundua huyu mkandarasi JASCO hajali kabisa watumiaji wa iyo barabara maana kaweka temporary bumps ambazo sio rafiki kabisa kwa magari madogo, zinakwangua sana maana zimechongoka.
Pia, kaacha mawe mawe barabarani jioni hii na hata mtaa nlioingilia mimi kuna baadhi ya gari ndogo haziwezi kabisa kupita.
Naomba wahusika wamuongoze vizuri.